Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Hamna chochote, ni busu tu na binti kumuita daddy, na ile ka Paula ku smile na ku mkiss daddy yake Rayvanny..
Ila kiukweli P funk kama mzazi itamuuma lakini hayo ni malipo ya aliyokuwa akimfanyia binti wa watu miaka hiyo.....na Kajala nae itamuuma kama mzazi ila ni sawa na uchungu waliokuwa wakiupata wazazi wake kipindi hicho....hii ndio maana halisi ya malipo ni hapa hapa duniani.
 
Majani kinamuumaje kwanza ? Mbona ameanza na kajala yupo mtoto kabisa shule, hii anakula mbengu aliyopanda miaka kadhaa. Mtoto huyo anagawa tunda kitambo, au alitaka ale yeye ? Mtu unachopanda ndio unachovuna
 
So, Rayvann , Harmonize ni baba mkwe wake kama ilivyo kajala ni mama mkwe ?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah ts JF lol
 
Mtoto anaesubiri July kwenda advance kutwa kushinda social media kupost [emoji2777]zake za kubinua makalio na kujichoresha?

Afu huyu Paula si abasoma St Anne Marie mbezi, tena nahisi now anaelekea kumaliza 4m 6 sasa imekuaje ya July kuanza advance?

Nwei watajuana wenyewe na upumbavu wao.
 
WCB ni wabaya sanaa, wabinafsi. Wapo tayari kuharibu heshima za watu KWA ajili ya kiki zao. Majuzi walimchafua baba Diamond, leo paula majani. Yule binti ni mwanafunzi, serikali itende haki, na kinachouma manager wao eti ni mbunge. Majani usikubali ujinga, hatakama ni 18 yule binti ni kwanini wavujishe video zake za faragha??? Mawakili Wanawake saidieni hili
Sasa hapo WCB inahusika kivip?
 
Siku mdogo wako,mwanao au dada yako akifanywa Kama Paula na kupostiwa ktk mitandao ya kijamii uje tena kuwasifia mabaharia,kuna vitu sio vya kufurahi still uyo bado mwanafunzi
 
Ila kiukweli P funk kama mzazi itamuuma lakini hayo ni malipo ya aliyokuwa akimfanyia binti wa watu miaka hiyo.....na Kajala nae itamuuma kama mzazi ila ni sawa na uchungu waliokuwa wakiupata wazazi wake kipindi hicho....hii ndio maana halisi ya malipo ni hapa hapa duniani.
Sema ka Rayvanny nako kana kera. Ujue kame mtungia wimbo Paula, kanasema kabisa katapeleka mahala kwa mzee Masanja 😀😀😀😀 na hakajufuta huo wimbo
 
Watoto wa siku hizi hapo katoto kama hata tayari line zote mbili za mwili wake zinatumika vizuri tu.
🤣🤣🤣🤣🤣
Siku mdogo wako,mwanao au dada yako akifanywa Kama Paula na kupostiwa ktk mitandao ya kijamii uje tena kuwasifia mabaharia,kuna vitu sio vya kufurahi still uyo bado mwanafunzi
Kama wazazi wake wamemshindwa kumlea vizuri mtoto wao unataka mabaharia wafanyaje?
 
Ila kiukweli P funk kama mzazi itamuuma lakini hayo ni malipo ya aliyokuwa akimfanyia binti wa watu miaka hiyo.....na Kajala nae itamuuma kama mzazi ila ni sawa na uchungu waliokuwa wakiupata wazazi wake kipindi hicho....hii ndio maana halisi ya malipo ni hapa hapa duniani.
Sikia mashairi ya Vboy kwa mtoto Paula .. wahuni sio watu😀😀
 
Back
Top Bottom