Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Kama ni kweli basi ile kauli ya P Funk aliyo itoa wakati akihojiwa na Dizzim "Paula ameshindikana....." ,aliyaona haya mapema.

Nimeumia kama mama mwenye watoto wa kike na kiume, nna uhakika Kajala pia anaumia... hakuna mama angependa mwanae apitie magumu aliyopitia yeye

Anachopitia P.Funk sasa ni kile alichowapitisha wazazi wa Kajala wakati Kajala akiwa na umri sawa Paula alionao sasa

Hakuna kitu utakachofanya kiwe kizuri au kibaya kisikurudie

Mungu amnusuru huyu mtoto. Bado ni mdogo sana kwa vitu hivi tena kwenye mitandao
 
Nimeumia kama mama mwenye watoto wa kike na kiume, nna uhakika Kajala pia anaumia.

Anachopitia P.Funk ni kile alichowapitisha wazazi wa Kajala wakati Kajala akiwa na umri sawa Paula alionao sasa

Hakuna kitu utakachofanya kiwe kizuri au kibaya kisikurudie

Mama Tulia bas ,tunaiombea hii couple ifike mbali .....
 
Nimeumia kama mama mwenye watoto wa kike na kiume, nna uhakika Kajala pia anaumia... hakuna mama angependa mwanae apitie magumu aliyopitia yeye

Anachopitia P.Funk sasa ni kile alichowapitisha wazazi wa Kajala wakati Kajala akiwa na umri sawa Paula alionao sasa

Hakuna kitu utakachofanya kiwe kizuri au kibaya kisikurudie

Mungu amnusuru huyu mtoto. Bado ni mdogo sana kwa vitu hivi tena kwenye mitandao

P Funk amesahau alichokuwa anapanda.
 
Tatizo mama ajiheshim hatukatai Kufanya ila si vizuri kufanya mbele za watoto,kipindi kile anatoka na Quick Racka wanapigana madenda kwenye magari we unazani mtoto una mfunza nini.
Hiyi huyo Paulo sijui Paula anasoma?
Niliskia yupo form 6?
Yaani mama anakunjwa kinomaa na konde chumba kingine mnaykyusa anavunja mifupa ya mtoto
 
Nimeona habari na video mitandaoni zikisema Rayvanny ana mahusiano ya kimapenzi na Paula mtoto wa kajala. Nijuavyo ni kuwa Paula alifeli form four wazazi wake wakamrudisha shule akawa anarisiti huku anasoma five na six, hivyo habari hizi za rayvanny zimenishtua kidogo. Vipi Paula ameacha shule? Na Kama bado anasoma kudate wanafunzi ni kosa linaloweza kumpeleka mtu jela miaka 30.

Na hata Kama ameacha shule bila shaka atakuwa underage huyo Paula ambapo pia ni statutory rape chini ya sheria kutembea na msichana chini ya miaka 18.

NB: Mamlaka zilifuatilie hili swala na ikibainika Kuna jinai zichukue hatua stahiki, yaani sheria ifuate mkondo wake wasanii ni vioo vya jamii hivyo wanapaswa kuwa wa mfano wa kuigwa, watoto waachwe wasome kwanza.
 
Back
Top Bottom