Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
- Thread starter
- #61
Paula ni mrembo , na celebrity haya mambo ni kawaida , wazazi ni celebrity unachomokaje wazee, .... Kama vip wamchukue wampeleke uingereza huko Kwa dada ake Ila huku akina domo watapita naye tuu ....
Alaf kuna sku Paula atampeleka Pfunk India kutibiwa ndo mshangae sasa
Alaf kuna sku Paula atampeleka Pfunk India kutibiwa ndo mshangae sasa