Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Mkuu kuchukia haibadili ukweli kwamba mtoto wako anatiwa. Hata ujinyonge ataendelea kutiwa. Kikubwa Hekima na busara inatakiwa ili kuficha aibu ya binti. Alafu nyie mbona mnafukua na mitaro kabisa.. mnaona mpo sahihi ?Kwahiyo kama ingekuwa ni mtoto wako ungeridhika jamaa liwe linatifua tu!? Ni kichaa peke yake ndie atakaeridhika akisikia mwanawe anatinduliwa na lijamaa ambalo halijui kama litamuoa au linamchezea.
Hivi kwanini wasanii wanapenda sana mambo ya faragha kuweka public? Kulikua na ulazima gan wa ku record na kupost insta. LolMtoto Hamisa Mobetto yupo sahihi kabisa, wasimuangushie zigo la mavi.. mtoto wamuharibu wao lawama achukue mobetto
Umeisha sema wasanii, wao kila kitu kwao ni sanaa..Hivi kwanini wasanii wanapenda sana mambo ya faragha kuweka public? Kulikua na ulazima gan wa ku record na kupost insta. Lol
wewe sio mzazi mkuu kwahiyo huwezi umia wala kuwaza kama mzazi.....just imagine unaona video ya dada zako wadogo utafeel vipi?Hawa wazazi wa mtandaoni wanazingua , wao wenyewe background zao ni uchafu mtupu na wengine watoto wao tunawainamisha kama kawa kitaa ila Kwa Paula kila mmoja ni mjuaji mpak Ka Steve Nyerere na kenyewe kanajirekodi et kamemind ....
Paula alikuwa haamini kama yeye ndo pekee kaubeba moyo Wa mtu mbaya vanny boy , vanny boy kamwambia asubiri Valentine atamhakikishia , na kweli ikawa hvyo na mwamba katoa na wimbo kabisa akisema mtoto kama mzungu ana asili ya Mwanza na yupo tayar kutoa mahari Kwa Mzee masanja .....Hivi kwanini wasanii wanapenda sana mambo ya faragha kuweka public? Kulikua na ulazima gan wa ku record na kupost insta. Lol
Wokovu ni mgumu sana haswa kwa sisi vijana,kuna muimba kwaya nilipita nae church,kanisa lilipokuja kujua nikatengwa marufuku kukaa siti za mbeleπππ nikawa nakaa siti za nyuma kbs..nikaja kuona uduanzi nikaamua kuachana na kanisaMi mwneyewe ni mwinjilist aliyetoroka kama nabii Yona , tuombeane mkuuπΆπ€£ wokovu ni mgumu
Lakini pale hakuna faragha yoyote, si mabusu tu yale.. ambayo ni normal sana kwenye hii dunia ya leoHivi kwanini wasanii wanapenda sana mambo ya faragha kuweka public? Kulikua na ulazima gan wa ku record na kupost insta. Lol
Chief nitake radhi, huko ni kunikosea adabu! Lini umeniona nikimfukua mtu mtaro?Mkuu kuchukia haibadili ukweli kwamba mtoto wako anatiwa. Hata ujinyonge ataendelea kutiwa. Kikubwa Hekima na busara inatakiwa ili kuficha aibu ya binti. Alafu nyie mbona mnafukua na mitaro kabisa.. mnaona mpo sahihi ?
πππππ ni daddy wa Paula kajala. Thread closed. πππPaula alikuwa haamini kama yeye ndo pekee kaubeba moyo Wa mtu mbaya vanny boy , vanny boy kamwambia asubiri Valentine atamhakikishia , na kweli ikawa hvyo na mwamba katoa na wimbo kabisa akisema mtoto kama mzungu ana asili ya Mwanza na yupo tayar kutoa mahari Kwa Mzee masanja .....
Kimsingi hapo Paula ana furaha isiyo kifani na Kwa vile vannyboy studio yake ndo Kali Tz nzima , π€ͺπ€£π€£ Paula mtamuua Tu kwa Vanboy , naombeni muwe wapole , tuache wivu na tuiombee hii couple ifike mbali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahyo harmonize ni baba wa rayvan???[emoji23][emoji23][emoji23]
Baba mkwe wa mtu hii dunia hii inakwenda kasi sanaa
Sikupingi kaka [emoji3][emoji3][emoji3]Paula alikuwa haamini kama yeye ndo pekee kaubeba moyo Wa mtu mbaya vanny boy , vanny boy kamwambia asubiri Valentine atamhakikishia , na kweli ikawa hvyo na mwamba katoa na wimbo kabisa akisema mtoto kama mzungu ana asili ya Mwanza na yupo tayar kutoa mahari Kwa Mzee masanja .....
Kimsingi hapo Paula ana furaha isiyo kifani na Kwa vile vannyboy studio yake ndo Kali Tz nzima , [emoji2957][emoji1787][emoji1787] Paula mtamuua Tu kwa Vanboy , naombeni muwe wapole , tuache wivu na tuiombee hii couple ifike mbali
Hyo adhabu ndogo kwa huyo mshenzi anamusambaza mtu Ili aweje na akizalilika angepata nini na akome simhurumii huyo baharia mharibifu na mchafuzi hata huyu rayvan anyooshwe iwe funzo kwa wanaozalilisha watoto wa kikeNi mdogo wangu nikupe link ya nini?nenda katafute mwenyewe.
Baharia tulimuonea nini? Cha kwanza ametembea na mwanafunzi ,cha pili akasambaza ile video mtaa mzima na ktk groups, cha tatu akawa analeta dharau ametembea na mtoto wa mchungaji anayejifanya yupo strictly ktk malezi, alikuwa hajui kuwa mchungaji ana watoto wanasheria!!! Imekula kwake 30yrs labda atoke kwa msamaha wa rais
Mkuu ule uzi wenu wa picha za warembo ni wewe unae comment au zina jicomment kwamba unakata hufukui chemba π³Chief nitake radhi, huko ni kunikosea adabu! Lini umeniona nikimfukua mtu mtaro?
Kuficha aibu?! Kwani pale tunaposema kuwa binti wa miaka 17/18 anaweza kuolewa nyie si ndio mnaokuja na malalamiko kuwa wanaozeshwa wakiwa wadogo! Ni nani hapo mwenye kutumia busara kati ya anaetaka kumwozesha binti wa miaka 18 baada ya kumuona amepevuka na kishaanza michezo ya wakubwa au anaesubiri mpaka asikie mwanawe anagongwa ovyo? Kutumia busara ni kuepusha madhara na sio kusubiri mpaka madhara yatokee ndio eti busara zitumike!! Eti kuficha aibu!! Aibu haifichiki, kizuri ni kukwepa aibu! Tafakari.
Wa kawaida sana