Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Apo amna kitu
Majani alipo kuwa anamfanyia kajala wakati kajala yupo Secondary alikuwa anajisikiaje ? Naamini Majani ni mtu mzima, hili swal atalimaliza kwa hekima za kikubwa na kina Said fella na Babu tale. Majani sio wa kukaa na Rayvanny kuweka suluhu, huyo ni sawa na mtoto wake... hekima tu na busara itaweka mambo sawa. Ila majani akitumia umwamba yeye ndio ataonekana kituko..wewe sio mzazi mkuu kwahiyo huwezi umia wala kuwaza kama mzazi.....just imagine unaona video ya dada zako wadogo utafeel vipi?
huu ujinga atafanya majani inabidi aumalize bila hivyo heshima haitakuwepo...., maana naona vijana mnasema sijui hana cha lumfanya rayvanny......
au rayvanny atafeel vipi endapo majani akimfanyia unyama yule mtoto wake mdogo?
Mkuu imebid tunyetishe Tu Hali halisi ya mambo maana watu wanapotosha na kumlaumu mtu mbaya vanny boy , wanasahau hata Adam alishindwa la kufanya mbele ya demand ya mwanamke ikabid ale Tu tunda sasa liwalo na liwe akatuachia msala mpak leo🐆🐆🐆🐆🐆 ni daddy wa Paula kajala. Thread closed. 😃😃😃
Mama mdangaji sugu unategemea nini,vijana wanamtafuna yeye na mwanaeNnimeumia kama Mzazi aseeehhh!!KAJALA amefeli sana kimaleZi. Maisha yake ya hoovyo aliyoishi naona anayapeleka kwa mtoto! Daah!Tuombee vizaZi vyetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kila kinachopostiwa kwenye Jamiiforum unakiamini moja kwa moja bila kushirikisha akili yako? Hata kufanya assesment unashindwa?? Bado hujathibitisha nilichokuuliza, nitake radhi.Mkuu ule uzi wenu wa picha za warembo ni wewe unae comment au zina jicomment kwamba unakata hufukui chemba
🐆🐆🐆🐆🐆🐆 ana studio yake, ana maisha yake soon anaenda kuwa na lebal yakez ni mda wa kuwa na msaidizi wa kufanana nae, nae si miwngine ni Paula Paul Mathias 😃😃Mkuu imebid tunyetishe Tu Hali halisi ya mambo maana watu wanapotosha na kumlaumu mtu mbaya vanny boy , wanasahau hata Adam alishindwa la kufanya mbele ya demand ya mwanamke ikabid ale Tu tunda sasa liwalo na liwe akatuachia msala mpak leo
Haya nisamehe mkuu.Kwahiyo kila kinachopostiwa kwenye Jamiiforum unakiamini moja kwa moja bila kushirikisha akili yako? Hata kufanya assesment unashindwa?? Bado hujathibitisha nilichokuuliza, nitake radhi.
Ndo muelewe Nguvu ya mtandao ,Ruge alisema ogopa Sana technology , inaumbua Sana 🤪🤣🤣Kwahiyo kila kinachopostiwa kwenye Jamiiforum unakiamini moja kwa moja bila kushirikisha akili yako? Hata kufanya assesment unashindwa?? Bado hujathibitisha nilichokuuliza, nitake radhi.
binti yuko na 20 au 21 kama sikoseiNimeona habari na video mitandaoni zikisema Rayvanny ana mahusiano ya kimapenzi na Paula mtoto wa kajala. Nijuavyo ni kuwa Paula alifeli form four wazazi wake wakamrudisha shule akawa anarisiti huku anasoma five na six, hivyo habari hizi za rayvanny zimenishtua kidogo. Vipi Paula ameacha shule? Na Kama bado anasoma kudate wanafunzi ni kosa linaloweza kumpeleka mtu jela miaka 30.
Na hata Kama ameacha shule bila shaka atakuwa underage huyo Paula ambapo pia ni statutory rape chini ya sheria kutembea na msichana chini ya miaka 18.
NB: Mamlaka zilifuatilie hili swala na ikibainika Kuna jinai zichukue hatua stahiki, yaani sheria ifuate mkondo wake wasanii ni vioo vya jamii hivyo wanapaswa kuwa wa mfano wa kuigwa, watoto waachwe wasome kwanza.
Binti mkubwa huyo amevuka 18 kitamboNasikia mwaka huu anapiga pepa 4m6.
Rayvan mwenyewe nini?Mtoto anamuita mwamba oooh My dady , ma-mae , alaf kampa joto lote .... Mtu mbaya nimemkubali Sana , mtoto yupo tayar kupiga chini kwenda advance ili awe karbu na chui Vanboy ....mtoto karelax kabisa jaman , tuacheni wivu .....
Ameshindwa kuthibitisha tuhuma, then maisha ya jamiiforum sio halisi, maana mtandaoni kila mtu financial stable tofauti na maisha halisi. Je anaamini kila kinachopostiwa?Ndo muelewe Nguvu ya mtandao ,Ruge alisema ogopa Sana technology , inaumbua Sana [emoji2957][emoji1787][emoji1787]
Nishakusamehe zamani sana, ila usiamini kila kinachopostiwa.Haya nisamehe mkuu.
Hapana, nakataa hii kauli yako, usigeneralize! Lakini pia hata P funk kwani nae hakujua kuwa Kajala alikuwa mtoto kipindi hicho?Yaani ni kwamba huyo RayVanny hajui kama huyo Paula ni mtoto?? kweli wanaume ni mafisi...
Amezaliwa mwaka gani?Binti mkubwa huyo amevuka 18 kitambo
Hizo story miaka ya 2000 nakatiza nyuma ya bamaga naenda kwa binamu yangu huyo mtoto alikua unamkuta na bibi yke kabebwa ....enzi hiyo tmk wanashinda kwa majaniMama yake alisema amezaliwa 2004 kwahiyo kwa vyovyote vile ni underage
Mama kamu expose mtoto kwenye mambo ya kikubwa mapema sana.Yaani ni kwamba huyo RayVanny hajui kama huyo Paula ni mtoto?? kweli wanaume ni mafisi...