Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

wewe sio mzazi mkuu kwahiyo huwezi umia wala kuwaza kama mzazi.....just imagine unaona video ya dada zako wadogo utafeel vipi?

huu ujinga atafanya majani inabidi aumalize bila hivyo heshima haitakuwepo...., maana naona vijana mnasema sijui hana cha lumfanya rayvanny......

au rayvanny atafeel vipi endapo majani akimfanyia unyama yule mtoto wake mdogo?
Majani alipo kuwa anamfanyia kajala wakati kajala yupo Secondary alikuwa anajisikiaje ? Naamini Majani ni mtu mzima, hili swal atalimaliza kwa hekima za kikubwa na kina Said fella na Babu tale. Majani sio wa kukaa na Rayvanny kuweka suluhu, huyo ni sawa na mtoto wake... hekima tu na busara itaweka mambo sawa. Ila majani akitumia umwamba yeye ndio ataonekana kituko..
 
🐆🐆🐆🐆🐆 ni daddy wa Paula kajala. Thread closed. 😃😃😃
Mkuu imebid tunyetishe Tu Hali halisi ya mambo maana watu wanapotosha na kumlaumu mtu mbaya vanny boy , wanasahau hata Adam alishindwa la kufanya mbele ya demand ya mwanamke ikabid ale Tu tunda sasa liwalo na liwe akatuachia msala mpak leo
 
Mkuu ule uzi wenu wa picha za warembo ni wewe unae comment au zina jicomment kwamba unakata hufukui chemba
Kwahiyo kila kinachopostiwa kwenye Jamiiforum unakiamini moja kwa moja bila kushirikisha akili yako? Hata kufanya assesment unashindwa?? Bado hujathibitisha nilichokuuliza, nitake radhi.
 
Mkuu imebid tunyetishe Tu Hali halisi ya mambo maana watu wanapotosha na kumlaumu mtu mbaya vanny boy , wanasahau hata Adam alishindwa la kufanya mbele ya demand ya mwanamke ikabid ale Tu tunda sasa liwalo na liwe akatuachia msala mpak leo
🐆🐆🐆🐆🐆🐆 ana studio yake, ana maisha yake soon anaenda kuwa na lebal yakez ni mda wa kuwa na msaidizi wa kufanana nae, nae si miwngine ni Paula Paul Mathias 😃😃
 
🐆🐆🐆🐆🐆🐆 ana studio yake, ana maisha yake soon anaenda kuwa na lebal yakez ni mda wa kuwa na msaidizi wa kufanana nae, nae si miwngine ni Paula Paul Mathias 😃😃
Sisi ni akina Nani hata tupinge 🤣
 
Kwahiyo kila kinachopostiwa kwenye Jamiiforum unakiamini moja kwa moja bila kushirikisha akili yako? Hata kufanya assesment unashindwa?? Bado hujathibitisha nilichokuuliza, nitake radhi.
Ndo muelewe Nguvu ya mtandao ,Ruge alisema ogopa Sana technology , inaumbua Sana 🤪🤣🤣
 
Nimeona habari na video mitandaoni zikisema Rayvanny ana mahusiano ya kimapenzi na Paula mtoto wa kajala. Nijuavyo ni kuwa Paula alifeli form four wazazi wake wakamrudisha shule akawa anarisiti huku anasoma five na six, hivyo habari hizi za rayvanny zimenishtua kidogo. Vipi Paula ameacha shule? Na Kama bado anasoma kudate wanafunzi ni kosa linaloweza kumpeleka mtu jela miaka 30.

Na hata Kama ameacha shule bila shaka atakuwa underage huyo Paula ambapo pia ni statutory rape chini ya sheria kutembea na msichana chini ya miaka 18.

NB: Mamlaka zilifuatilie hili swala na ikibainika Kuna jinai zichukue hatua stahiki, yaani sheria ifuate mkondo wake wasanii ni vioo vya jamii hivyo wanapaswa kuwa wa mfano wa kuigwa, watoto waachwe wasome kwanza.
binti yuko na 20 au 21 kama sikosei
 
Ndo muelewe Nguvu ya mtandao ,Ruge alisema ogopa Sana technology , inaumbua Sana [emoji2957][emoji1787][emoji1787]
Ameshindwa kuthibitisha tuhuma, then maisha ya jamiiforum sio halisi, maana mtandaoni kila mtu financial stable tofauti na maisha halisi. Je anaamini kila kinachopostiwa?
 
Yaani ni kwamba huyo RayVanny hajui kama huyo Paula ni mtoto?? kweli wanaume ni mafisi...
Hapana, nakataa hii kauli yako, usigeneralize! Lakini pia hata P funk kwani nae hakujua kuwa Kajala alikuwa mtoto kipindi hicho?
Karma is....
 
Back
Top Bottom