Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Katapigwa kila kona mara paaap hana uwezo wa kuzaa kama Sepetu!!
Dunia hii!
 
2000 tmk wanashinda kwa majani? Ilikuwa kundi gani??
Miaka ya 2000 au 2002 baada ya prof j kutoa chemsha bongo,kulikua n kundi la wanamziki wa tmk wanakua hapo studio kwake....wengine unawakuta wamekaa nje wanapiga story
 
Ndugu,ndio maana viko vyombo vya kupinga ukatili kwa watoto,sio kisa sababu wapo waliozaa chini ya huo umri ndio tubariki unyanyasaji kwa watoto, NO!
Hakuna anae furahia hayo, ila pia angalia upande mwingine, usi mshambulie chui, tatizo la huyu binti limeanzia kwa wazazi
 
Ndugu,ndio maana viko vyombo vya kupinga ukatili kwa watoto,sio kisa sababu wapo waliozaa chini ya huo umri ndio tubariki unyanyasaji kwa watoto, NO!
Muda mwingine nyie wazazi wa kike ndio mnachangia kuharibu watoto wenu, mtu kama Kajala inaonekana yeye mwenyewe binafsi hakuwa akimpa malezi mazuri mtoto, maana mara kwa mara baba yake alikuwa akilalamikia tabia za Kajala, lakini akajifanya kutia pamba za masikio.
 
Mkuu usitudhalilishe mabaharia,,
Tuombe radhi mabaharia ,,kwa kutudhalilisha.
Ray van hawezi kuwa na itikadi za kibaharia..

Mabaharia halisi wanakula kimya kimya,,na sio kupost mitandaoni.

Huyo ni bishororo kama mabishororo wengine..

Hana sifa za kibaharia..
 


Daaah mtoto anaonekana cream kabisa kwa ndani 🥰 tuacheni kumuonea wivu mtu mbaya vanny boy
 
Miaka 20 ni mtu mzima?? huyu bado ni mtoto anauaga u teenager,bado hayuko matured enough kufanya decisions...kama malezi yake hayakua sahihi haimpi uhalali RayVanny ku take advantage of her...
Hahahaa kuna watu hawaishi tz hii mi nime ona ma binti wengi sana walio feli kidato cha nne wali olewa labda watu ambie muda sahihi wa binti kuolewa au kuwa na maamuzi yake ni miaka mingapi au 25 maana hiyo 25 kwa mtoto wa kike anakuwa anaelekea zilipendwa.
 
Hakuna anae furahia hayo, ila pia angalia upande mwingine, usi mshambulie chui, tatizo la huyu binti limeanzia kwa wazazi

NO, angekua huyu binti ndio amemu approach RayVanny ndio ungesema hayo ya makuzi yake,ila RayVany ni mtu mzima yeye ndio angemuacha mtoto wa watu,...
 
Hata kama mabinti wanaozaa na umri mdogo wako million 1, haiondoi ukweli huu ni unyanyasaji juu ya watoto,
 
Anamfundisha kula denda
 

No ni nyie wanaume mabazazi msiojua huyu ni mtoto ngoja nimwache akue!....mnashangaza sana kumtupia zigo Kajala as if ndio aliyempeleka mwanae kwa huyo RayVanny!?!...again, RayVany alipaswa kufikiria zaidi....and God knows uhusiano wao umekua wa muda gani... sad!
 
Your browser is not able to display this video.

Hata mimi laiti ningekuwa na connection ningemkula, shida sio ubazazi. Kuna muda mtu anatakiwa ajitambue kuwa ni mama na ajue akifanyacho kwa mtoto kitaleta effect kwenye maisha yake ya baadae, lakini Kajala alishindwa kujitambua na kuhisi labda yuko na ahoga yake!
Yeye ndio alikuwa mstari wa mbele kumfunza ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…