Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Kama mzazi hii imeniumiza sana. Kwa suala hili, huyo rayvany ni angetakiwa time hii awe selo kwanza maana nasikia huyo binti ni mwanafunzi. Pili mama yake na huyu binti hawezi kwepa lawama za malezi mabovu.
Nilichogundua wengi wa hawa madada wa bongo movie ni hopeless kabisa kwenye malezi na kichwani hamna kitu! Kiasi kwamba wanashindwa kuwadhibiti watoto wao wasiangukie kwenye mitego iliyowaangusha wao.
 
Mnhhh hili ni swala letu lote,je wote tukianzisha mahusiano tukiwa na miaka 19 tutajenga jamii ya aina gani??
Kama unaitegemea jamii ya sasa hivi isiyo mjua Mungu,isiyofuata maadili unakosea dada yangu.Jamii hii ya inayo funzwa na social networks ,blogs,website za ngono ambapo kumejaa uchafu wa kila aina,jamii ambayo wanakuambia "EMBE MBICHI NITALIA NA CHUMVI........" jamii hii inayo promoti KWENDA KWA MPALANGE KULIKO CHUMVINI,jamii hii ya MTOTO WA MWENZIO NI MKUBWA MWENZIO RUKA NAE unakosea sana,kwani jamii yetu haina HOFU na wala HAMUOGOPI MUNGU.

Kitu cha kwanza timiza wajibu wako kama mzazi mfundishe mwanao baya na zuri,muongoze ktk njia azipendazo Mungu na usisaha kumweleza yeye ni nani anatakiwa afanye kitu gani kwa wakati huu,muepushe na hizi simu hasa smartphone kwa wakati wa u-teenager wake,hizo ndizo zitakuwa ni silaha za kupambana na jamii tulio kuwa nayo hivi sasa.

Vinginevyo kama usipotimiza wajibu wako kama mzazi,basi atakutana na walimwengu na walimwengu wengi wao ni wabaya bora akutane nao wazuri wa kusadie kumrekebisha.

Siku hizi jamii hiyo unayo izungumzia ww hamna,zamani jirani kama akikuona unakosea ana uwezo wa kukuadhibu na mzazi akaelewa,ila jamii ya sasa hivi umuone mtoto wa jirani yako anakosea alafu ukamwadhibu,utajenga uadui mkubwa na huyo mzazi anaweza kukupeleka mpaka kwenye vyombo vya sheria.

Jamiii ile ya wazee wetu ya mtoto wa jirani ni mtoto wako ishapotea,kama ipo basi haivuki 3%,ndio maana watoto wa siku hizi wana tabia za ajab ajabu.
 
Nilichogundua wengi wa hawa madada wa bongo movie ni hopeless kabisa kwenye malezi na kichwani hamna kitu! Kiasi kwamba wanashindwa kuwadhibiti watoto wao wasiangukie kwenye mitego iliyowaangusha wao.
Shida sana.
kwenye malezi, mzazi yeyote makini huwa mkali sana juu ya kampani ya mtoto wake. Sio kila mtu unaruhusu tu. Changamoto nyingine single parenting ina madhara kama haya.
 
Shida sana.
kwenye malezi, mzazi yeyote makini huwa mkali sana juu ya kampani ya mtoto wake. Sio kila mtu unaruhusu tu. Changamoto nyingine single parenting ina madhara kama haya.
Kwetu sisi, mtoto anaweza kulelewa na single parent (mama) pale tu akiwa chini ya miaka 7, akitimiza miaka saba tu kikawaida huwa tunamchukua mtoto wetu na kulea wenyewe. Si kwa ubaya, bali ni kwa ajili ya kuepuka mambo kama haya.
 
kuna mantiki. Kina mama wengi hupata shida sana kulea watoto wa kike pekee yako. Wengi wa hao watoto huwa na behaviours mbovu.
 
Hakuna kesi hapo, Paula Ni binti mkubwa tu, miaka 20+ sio mtoto kabisa. Na kwakua hatuko chini ya miaka 18, Rayvanny hana hatia yoyote kwakua hakumlazimisha.
Ukiangalia kwa makini utagundua kuwa , kwenye clip nyingi aliekuwa anarecord ni Paula mwenyewe.

NB :Mnapoteza muda wenu kutetea gumegume. Kati ya wanaume wote mliocoment tangia uzi huu uanzishwe, hakuna hata mmoja ambae Paula atashindwa kummudu kimapenzi, mmekomaa mtoto mtoto, ukituma mtoto utamfata Paula? Au mnataka kusema Vanyboy kamkuta bikra?
 
Kwa maisha ya kitanzania pia mtoto wa miaka 19 asipokuwa na maamuzi yake na ukiendelea kumbana sana kwa kuhisi ndio malezi mwisho wa siku atashindwa kuwa na msimamo na kufanya maamuzi yake na hivyo anaweza kufikisha hadi miaka 25 akiwa anashindwa kujitegemea kwa chochote. Ndio maana hata serikali inamtambua mtoto aliye na miaka zaidi ya 18 kuwa ni mtu mzima hivyo anaweza kuajiriwa na kujitegemea.
... hofu yako ni kijana wako kufikisha miaka 25 bila kujitegemea kwa chochote ndio maana unamtuma 'ajitegemee' kingono mapema??!!!..........kuhusu serikali kumtambua mtoto aliyezidi kumi na nane sawa ila angalia familia yako na wanaokuzunguka mtoto wa miaka 19 ana judgement na maturity ya kufanya maamuzi sahihi? Kiafrica mtoto wa miaka 19 ni mtoto hata sijui kwa nini waliweka hio ya miaka 18 kuwa mtu mzima,,
 
Hakuna kesi hapo, Paula Ni binti mkubwa tu, miaka 20+ sio mtoto kabisa. Na kwakua hatuko chini ya miaka 18, Rayvanny hana hatia yoyote kwakua hakumlazimisha.
Ukiangalia kwa makini utagundua kuwa , kwenye clip nyingi aliekuwa anarecord ni Paula mwenyewe.

NB :Mnapoteza muda wenu kutetea gumegume. Kati ya wanaume wote mliocoment tangia uzi huu uanzishwe, hakuna hata mmoja ambae Paula atashindwa kummudu kimapenzi, mmekomaa mtoto mtoto, ukituma mtoto utamfata Paula? Au mnataka kusema Vanyboy kamkuta bikra?
Na ambacho hawajui watu ni kuwa engineer wa hii movie yenyewe ni Paula mwenyewe , hata wimbo wa valentine haumo kwenye albam ya Rayvanny lakn imebid mwamba autoe kumridhisha huyo bint , binti hapo alipo yupo full furaha , na anampenda mno Rayvanny kuliko maelezo..... Sasa humu kuna wazazi wa mtandaoni wajuajiii na wanajifanya wanajua malezi.... Ila Mungu akikufunulia background zao aheri hata ya Paula , na watoto wao sasa duh
 
We mtu mpaka anasema "I love you dady" simu kaishilia mwenyewe, tena akiwa juu ya rayvanny bado watu wanataka kulazimisha Paula aonekane innocent, akati toto tunaliona kila siku mitandaoni linajianika ovyo. Aiseeeh watu hawaii serious kabisa.

NB:Achilia mbali hayo, huyo Paula ni mkubwa tu hata mimi akinipa namla bila kujisikia hatia yoyote moyoni.
 
Back
Top Bottom