Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
😔ulikuwa wap muda wote huo hujaniwish? 🤔 😢😢Happy Valentine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😔ulikuwa wap muda wote huo hujaniwish? 🤔 😢😢Happy Valentine
Miaka 20 bado mtoto, alitakiwa awe kwao sio kwenye mikono ya RayVanny!, NOKwani huyo Paulo .. alikuwa Bikra. Alafu hujui maisha ya kiswahiliz miaka 20 ni binti mkubwa sana
Miaka ya 2000 au 2002 baada ya prof j kutoa chemsha bongo,kulikua n kundi la wanamziki wa tmk wanakua hapo studio kwake....wengine unawakuta wamekaa nje wanapiga story2000 tmk wanashinda kwa majani? Ilikuwa kundi gani??
Hakuna anae furahia hayo, ila pia angalia upande mwingine, usi mshambulie chui, tatizo la huyu binti limeanzia kwa wazaziNdugu,ndio maana viko vyombo vya kupinga ukatili kwa watoto,sio kisa sababu wapo waliozaa chini ya huo umri ndio tubariki unyanyasaji kwa watoto, NO!
Muda mwingine nyie wazazi wa kike ndio mnachangia kuharibu watoto wenu, mtu kama Kajala inaonekana yeye mwenyewe binafsi hakuwa akimpa malezi mazuri mtoto, maana mara kwa mara baba yake alikuwa akilalamikia tabia za Kajala, lakini akajifanya kutia pamba za masikio.Ndugu,ndio maana viko vyombo vya kupinga ukatili kwa watoto,sio kisa sababu wapo waliozaa chini ya huo umri ndio tubariki unyanyasaji kwa watoto, NO!
Mkuu usitudhalilishe mabaharia,,Huyu Paula aisee Ni mzuri haswa mpaka namuonea wivu Rayvanny atakuwa amemfaidi sana.Binafsi huyu demu niliwahi kukutana nae 2019 kwenye club ya las Vegas akiwa na marafiki zake wawili hapo nikiwa Niko mwaka wa kwanza chuo huyu demu Ni pisi Kali haswa picha zake unaziona insta ndio Yuko hivo hivo tofauti na mastaa wengi ambao nimewahi kuwaona wengi wao wanajiedit plus mkorogo na makeup ndio zinawasaidia.
Ni demu ambaye ajui kuringa nikamuomba nicheze nae hiyo siku akakubali nikacheza nae baadae marafiki zake wakafuata waondoke nae kabla ya kuondoka nikaomba no yake akanipa.
Kama wiki hiv nilikuwa nachart nae Cha ajabu alikuwa anajibu message zangu Kama kawaida sikutegemea kwasababu mimi si mtu maarufu.Tatizo chelewa yangu iliniponza maana baadae ile no ikawa haipatikani.
NB: Nitopongezi zangu kwa Rayvanny na mabaharia wengine wanaomgonga huyu demu wanafaidi Sana binafsi sijakata tamaa ya kumfukuzia issue inakuja nitapata njia gani tena nikutane.
Baby, I am sorry😔ulikuwa wap muda wote huo hujaniwish? 🤔 😢😢
Unajua kuhesabu vizuri miaka, je amezaliwa mwezi wa ngapi na tarehe ngapi?Now 2021 ana miaka mingap ??
Hahahaa kuna watu hawaishi tz hii mi nime ona ma binti wengi sana walio feli kidato cha nne wali olewa labda watu ambie muda sahihi wa binti kuolewa au kuwa na maamuzi yake ni miaka mingapi au 25 maana hiyo 25 kwa mtoto wa kike anakuwa anaelekea zilipendwa.Miaka 20 ni mtu mzima?? huyu bado ni mtoto anauaga u teenager,bado hayuko matured enough kufanya decisions...kama malezi yake hayakua sahihi haimpi uhalali RayVanny ku take advantage of her...
Baby, I am sorry
Hakuna anae furahia hayo, ila pia angalia upande mwingine, usi mshambulie chui, tatizo la huyu binti limeanzia kwa wazazi
Baby jamani, sasa ukiondoka hawa watoto nitalea na nani?Taki mimi 😢😢
Hata kama mabinti wanaozaa na umri mdogo wako million 1, haiondoi ukweli huu ni unyanyasaji juu ya watoto,Hahahaa kuna watu hawaishi tz hii mi nime ona ma binti wengi sana walio feli kidato cha nne wali olewa labda watu ambie muda sahihi wa binti kuolewa au kuwa na maamuzi yake ni miaka mingapi au 25 maana hiyo 25 kwa mtoto wa kike anakuwa anaelekea zilipendwa.
Anamfundisha kula dendaSizani Kajala kama anaumia yeye mwenyewe hajiheshim,hatukatai kuwa na mahusiano lkn si kila mahusiano yako mtoto wako ayajue,mf kipindi cha nyuma anadate na Quick Racka kuna clip moja alijirekodi wanakula denda,sasa kama mzazi unamfundisha nini mtoto.
Muda mwingine nyie wazazi wa kike ndio mnachangia kuharibu watoto wenu, mtu kama Kajala inaonekana yeye mwenyewe binafsi hakuwa akimpa malezi mazuri mtoto, maana mara kwa mara baba yake alikuwa akilalamikia tabia za Kajala, lakini akajifanya kutia pamba za masikio.
Semea kuanzia 2002 sio 2000.Miaka ya 2000 au 2002 baada ya prof j kutoa chemsha bongo,kulikua n kundi la wanamziki wa tmk wanakua hapo studio kwake....wengine unawakuta wamekaa nje wanapiga story
No ni nyie wanaume mabazazi msiojua huyu ni mtoto ngoja nimwache akue!....mnashangaza sana kumtupia zigo Kajala as if ndio aliyempeleka mwanae kwa huyo RayVanny!?!...again, RayVany alipaswa kufikiria zaidi....and God knows uhusiano wao umekua wa muda gani... sad!