Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
😋Waache walane tu jamani kwani kuna ubaya.wasisahau ndimu,pilipili na chumvi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😋Waache walane tu jamani kwani kuna ubaya.wasisahau ndimu,pilipili na chumvi
Mbagala rangi 3Jesca anapatikana wapi siku hizi? Just asking for a friend.
Mtoto ni mtoto kwa Mzazi.. So Kajala yupo sahihi kabisa kumuita yule binti mtoto.Kwani tafsiri ya neno "mtoto" ni ipi?
Yes ndo maana yangu ilipokua, na niliuliza vile ili majibu yaje hivi.Mtoto ni mtoto kwa Mzazi.. So Kajala yupo sahihi kabisa kumuita yule binti mtoto.
Hawa mabazazi wanaona sio mtoto kwakua wanaona dogo ashavunjwa bikra, ila motto hata azeeke na mvi awe nazo kwa mzazi bado ni mtoto tu.Yes ndo maana yangu ilipokua, na niliuliza vile ili majibu yaje hivi.
Tatizo siyo mtoto ni "mdogo"Kwani tafsiri ya neno "mtoto" ni ipi?
Hatujakaa kama ni mtoto shida je ni mdogo? Kama ni mdogo anawezaje kufanya mambo tajwa hapo juu? Inaa maana mama huoniMtoto ni mtoto kwa Mzazi.. So Kajala yupo sahihi kabisa kumuita yule binti mtoto.
hata likiwa bichi wahuni wanakula na chumviPaula ni embe lililoiva tayari kwa kuliwa
Unaweza kuwa na miaka 100 ila kwa mzazi ukawa mtoto je ni mtoto mdogo kweli au...Hawa mabazazi wanaona sio mtoto kwakua wanaona dogo ashavunjwa bikra, ila motto hata azeeke na mvi awe nazo kwa mzazi bado ni mtoto tu.
Hata hawa wa humu wanaosema yule binti sio mtoto wao pia ni watoto kwa wazazi wao na wao pia watakua na watoto tu maadamu wanazaliana.
Ni mdogo yule?Siungi mkono hoja.Yule ni mtoto na huyo mama yake kila muda utavyokuwa unasonga atakuwa anavuna alichopanda kwa maana msimu wa kuvuna ndio sasa
Yes ndo maana yangu ilipokua, na niliuliza vile ili majibu yaje hivi.
Ndyo ni mtoto mdogo kwake.Tatizo siyo mtoto ni "mdogo"