Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Kuna kitu nataka unisaidie kwani sheria za Tz zinasemaje,manake kwa UK ukifanya mapenzi na binti wa miaka chini ya 18 ni kosa kisheria ,hili lilimfanya mchezaji wa Stoke City Adam Johnson pamoja na mshahara wake wa pound 100000 per week sasa hivi yupo rumande,baada ya kufanya mapenzi na binti aliyekuwa na miaka 17 aliye mkuta club.

Sasa kwa Tz ina maana hata ukimtia mimba au kufanya nae mapenzi mwanafunzi wa miaka 18 na kuendelea ni kosa kisheria?
Akishakuwa ni mwanafunzi Kuanzia Form five kushuka chini boss haijalishii umrii wakeee..!! Sasa ubaya awe mwanafunzi na umri wake chini ya miaka 18. Kwa kesi ya rayvanny ni kesi ya udhalilishaji pia incase kama kuna ushahidi paula bado anasomaaa aisee patakuwa hapatoshii

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Chief mbona unatoka nje ya key? Hutaki Rayvany ale tunda kimasihara?? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Huyu amekula tayari lakini Umaarufu wake utamponzaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Alafu lije lituadithie kablaa havijaumanaa..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Akishakuwa ni mwanafunzi Kuanzia Form five kushuka chini boss haijalishii umrii wakeee..!! Sasa ubaya awe mwanafunzi na umri wake chini ya miaka 18. Kwa kesi ya rayvanny ni kesi ya udhalilishaji pia incase kama kuna ushahidi paula bado anasomaaa aisee patakuwa hapatoshii

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hamna kesi hapo, Paula umri ni 19+ , yupo out of school kamaliza form four , option ya kwenda form five au chuo ni yake,na anaweza kuzingua vilevile kwamba staki school
 
Paula ni mzuri , tena ni mzuri kweli ....Kwa vyovyote vile lazima pressure za Mapenzi zimwandame , hata chuoni tuliwaona na hata maofisini tunawaona hata kama wameolewa wanakuwa under extreme pressure ya wanaume wa Kila Aina from poor man to Billionaire status ,. ...... Kuna wanaume wengi wa kumuoa Paula tena wenye pesa zao hata kama vannyboy akizingua......Kwa mwanamke hcho kikwazo kukivuka sio rahsi na tusimtabirie mabaya Sana mana Mungu ndo anayeongoza maisha ya watu , Nani alijua life style bovu la bi Sandra litamfanya azae kijana millionaire ???? Tusihukumu Sana hvi vitu vipo
Hujui tu hayo ni malezi ya baba amekosa sasa sauti moja tu anasikia ya mama paula usiwe kama mimi. Au acha kitu hiki hasikiii ila baba akimjia juu kwisha na mama haogopwagi kama baba nadhani unajua hiloo hata mama anasema kendrick nakustakiakwa baba akija leo huoni.
 
Akishakuwa ni mwanafunzi Kuanzia Form five kushuka chini boss haijalishii umrii wakeee..!! Sasa ubaya awe mwanafunzi na umri wake chini ya miaka 18. Kwa kesi ya rayvanny ni kesi ya udhalilishaji pia incase kama kuna ushahidi paula bado anasomaaa aisee patakuwa hapatoshii

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Anasoma shule gani huyo mwanafunzi?

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kesi ya mshkaji wangu ilikuwa ni mwanafunzi wa Form 4 tena kamaliza anasubiri kwenda form five...!! Jamaa alimpa mimbaa mdada ambae mzee wake ni kauzu balaa maana haya mambo huwa mepesi sana kama wazazi wa mwanamke ni waelewa hata kama yakifika polisi yanaweza kurudi kifamilia mkayamaliza lakini USIOMBE NA SEMA USIOMBEE wazazi wa mtoto wa kikw wakukaziee... jamaa yangu alipigwa miaka 30 hadi leo huwa siamini kabisa nahisi jamaa alionewa lakini No ni wazazi wa yule binti ndo walileta Nongwa. Kwa Rayvany hajampa mimba paula ila ustar wake ndo utamponza.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Huyo itakuwa alikuwa hajifikisha 18

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Sioni kosa ni baba kumtenga paula
Kwa hiyo wewe hivi vya kajala ni kawaida.

2692482_149064324_1936438593174356_2764616400752307128_n.jpg

Kumsindikiza kwenye matamasha mfano Aftet Skull Bash unaona sawa.

Kumuexpose kwenye social media na kwa marafiki zake wadangaji unaona sawa.

Kumfungulia acc social network huko Instagram na Kumkabizi smartphone unaona sawa (Kwa faida yako katizame documentary ya SOCIAL DILEMA itakusaidi kujua -ve impact ya hizi social media kwa watoto dogo below 18yrs).

Kumtambulisha kwa mabwana zake unaona sawa na kuambatana nae sehemu za kifahari na mabawana zake unaona sawa.

Daaah basi hongera na kama malezi haya ya Kajala unampa na mwanao basi HONGERA SANA.

ILA KAMA UMEPANDA BANGE USITEGEMEE KUVUNA MAHINDI,KWANI MARA NYINGI TABIA ZA MTOTO NI IMAGE YA TABIA ZA MZAZI SO TAFAKARI.

SO SIKU NJEMA SINA CHA KUONGEZA.
 
Kitendo cha kumtupia baba yake vijembe nilimdharau sana huyu mtoto anaonekana ana jeuri anajikuta ni pisiii Kali zaidi ya wote huko instragram
 
Akishakuwa ni mwanafunzi Kuanzia Form five kushuka chini boss haijalishii umrii wakeee..!! Sasa ubaya awe mwanafunzi na umri wake chini ya miaka 18. Kwa kesi ya rayvanny ni kesi ya udhalilishaji pia incase kama kuna ushahidi paula bado anasomaaa aisee patakuwa hapatoshii

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Kwa elimu yetu ya Tz mara nyingi kama mtoto hajakwama au kufeli hapa kati ,miaka 18 anatimiza akiwa form 5.Huyo binti karisiti mwaka jana na kwa mujibu wa mama yake mwaka huu mwezi wa 7 anaingia form 5,kimahesabu huyu binti mwaka huu anatimiza miaka 19 akiwa form 5.

Sijui sheria zina semaje natamani nipate mwanasheria atupe vifungi still bado sijarizika na jibu lako.
 
Kitendo cha kumtupia baba yake vijembe nilimdharau sana huyu mtoto anaonekana ana jeuri anajikuta ni pisiii Kali zaidi ya wote huko instragram
Alisemaje mkuu?

Wengine iyo Instagram tunaisikia kwa mbali Kama vile mlevi akishalewa kisha ukamwita anakua anasikia kwa mbaliii
 
Kwa elimu yetu ya Tz mara nyingi kama mtoto hajakwama au kufeli hapa kati ,miaka 18 anatimiza akiwa form 5.Huyo binti karisiti mwaka jana na kwa mujibu wa mama yake mwaka huu mwezi wa 7 anaingia form 5,kimahesabu huyu binti mwaka huu anatimiza miaka 19 akiwa form 5.

Sijui sheria zina semaje natamani nipate mwanasheria atupe vifungi still bado sijarizika na jibu lako.
Huku jukwani wanasheria watudadavulie hili kwa kweli
Ila huyu Ni mtoto mi navyoona lakini
 
Alisemaje mkuu?

Wengine iyo Instagram tunaisikia kwa mbali Kama vile mlevi akishalewa kisha ukamwita anakua anasikia kwa mbaliii
P.Fank alikuwa anahojia na mtangazaji akajibu kwamba huyo mtoto kashindika na lawama apewe Mama yake nadhani kuna tabia alikuwana ana muonya inaonesha Kajala alikuwa ana mkingia kifua binti yake baada ya mahojiano Yale huyu binti aliandika akimpenda Mama yake yatosha.
 
Back
Top Bottom