G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,618
- 3,478
Majani aliamua kuishi na Kajala sema huyo Kajala mwenyewe ni fungu la kukosa tu.Nimeumia kama mama mwenye watoto wa kike na kiume, nna uhakika Kajala pia anaumia... hakuna mama angependa mwanae apitie magumu aliyopitia yeye
Anachopitia P.Funk sasa ni kile alichowapitisha wazazi wa Kajala wakati Kajala akiwa na umri sawa Paula alionao sasa
Hakuna kitu utakachofanya kiwe kizuri au kibaya kisikurudie
Mungu amnusuru huyu mtoto. Bado ni mdogo sana kwa vitu hivi tena kwenye mitandao
Sasa swali ni je, rayvan yupo tayari kuishi na Paula?