Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Nimeumia kama mama mwenye watoto wa kike na kiume, nna uhakika Kajala pia anaumia... hakuna mama angependa mwanae apitie magumu aliyopitia yeye

Anachopitia P.Funk sasa ni kile alichowapitisha wazazi wa Kajala wakati Kajala akiwa na umri sawa Paula alionao sasa

Hakuna kitu utakachofanya kiwe kizuri au kibaya kisikurudie

Mungu amnusuru huyu mtoto. Bado ni mdogo sana kwa vitu hivi tena kwenye mitandao
Majani aliamua kuishi na Kajala sema huyo Kajala mwenyewe ni fungu la kukosa tu.
Sasa swali ni je, rayvan yupo tayari kuishi na Paula?
 
Una utani kijanaa Kampe mimba mwanafunzi wa Form Five mwenye Miaka 20 alafu ndo utajua hujui[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Kwa haijalishi ana miaka mingapi so hata ukimpa mimba mwanafunzi wa kidato cha tano,let's say ana miak 22 still ni kosa kisheria?

Manake mimi huwaga nawasikia wanasheria,kwenye mijadala yao wanadai Tz tumekopi sana sheria kutoka UK na UK kama ukifanya mapenzi na binti wa miaka chini ya 18 ni kosa kisheria ila kuanzia miaka 18 haijalishi kama mwanafunzi huna kosa kisheria.

Ila still bado na tamani tupate wanasheria achambue hili.
 
Una utani kijanaa Kampe mimba mwanafunzi wa Form Five mwenye Miaka 20 alafu ndo utajua hujui[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Paula yupo form five shule gani Mzee?? Kama hayupo shule ni Nani wa kumlazimisha aende shule kama akisema sitak , nataka niende college au nifanye biashara cse kiumri tayar yupo authorized kufanya maamuz yake binafs ..na pia Paula ana mimba ya vannyboy,? Au Ile kumuita dady kwenye gari🤣🤣,... Naona mnamuonea wivu vannyboy kumtomba huyo mtoto....
 
Ooh dady......yaan Van mara hii ni dady sisi wengine tunaitwa majina ya kihuni tu sijui tunakosea wapi
 
maisha yanaenda kasi sana halafu pFUNK ni babu wa rayvanny na mzazi mwenzie harmonize dah...wacha nkale ugoro
Nimeona Harmonize ana mshauri mkwe wake Rayvanny kwenye page yake ya insta. Ila P Funk bado yupo kimya. Naona hili jambo walimalize kwa level za kifamilia, maana pia limekaa vibaya kwa Vboy kama watamvalia njuga, nae career yake ya kimuziki na ki maisha yaweza yumba.. maana soo.. wamekomalia katoto
 
Kondeboy kaandika kinafki Sana , hajui kwamba yeye ni popular kuandika kwake huko kunachochea Moto?? Au Kwa vile Kiki yake imezimwa na hiyo issue ???
 
Kondeboy kaandika kinafki Sana , hajui kwamba yeye ni popular kuandika kwake huko kunachochea Moto?? Au Kwa vile Kiki yake imezimwa na hiyo issue ???
Ule ni unafiki 100%. Baba Mwenye mtoto katulia kimya, na huenda analifatilia jambo kwa akili vizuri kabisa na hekima. Ila njomba nchomali anajidai kimemuumaaaa .. anachochea moto.. uzuri majani ana akili kuliko njomba nchomali
 
Kosa kubwa alilofanya P Funk ni kukubali mtoto akalelewe na mama ilhali anajua tabia za mzazi mwenzake sio salama kwa mtoto.
Shida sio kulelewa na Mama wangapi wanalelewa na Mama zao na kimaadili wako njema unazijua pisi Kali za Master J
 
Kwani yeye P Funk ana tabia zipi nzuri za kufaa kulea mtoto salama
P Funk ni mkali, ila culture yake inaweza onesha kama ana haribu watoto. Ana culture ya kizungu . Ila jamaa angekuwa ana culture ya kiswahili, watoto wake wange nyooka
 
Back
Top Bottom