Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
- Thread starter
- #721
Kaizngua Sana , nimeona Mr True boy Ney wa mitego Kamchana live kamwita kenge......mbna WCB huwa hawaingilii mambo yake ??? Hajui kwamba watu wanamfatilia Sana , na alichoandika kitafanya media zote ziandike , na issue ita-escalate?? Konde boy mnafikri Sana ndo mana Mond huwa anamchuniaUle ni unafiki 100%. Baba Mwenye mtoto katulia kimya, na huenda analifatilia jambo kwa akili vizuri kabisa na hekima. Ila njomba nchomali anajidai kimemuumaaaa .. anachochea moto.. uzuri majani ana akili kuliko njomba nchomali