Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Ule ni unafiki 100%. Baba Mwenye mtoto katulia kimya, na huenda analifatilia jambo kwa akili vizuri kabisa na hekima. Ila njomba nchomali anajidai kimemuumaaaa .. anachochea moto.. uzuri majani ana akili kuliko njomba nchomali
Kaizngua Sana , nimeona Mr True boy Ney wa mitego Kamchana live kamwita kenge......mbna WCB huwa hawaingilii mambo yake ??? Hajui kwamba watu wanamfatilia Sana , na alichoandika kitafanya media zote ziandike , na issue ita-escalate?? Konde boy mnafikri Sana ndo mana Mond huwa anamchunia
 
Kana roho mbaya sana, na ndio maana hata Salam_Sk hataki hata salam yakez anajua kajomba nchumali ni kanafiki na kafitinishi. Na kwenye hili tumoeona.
 
Kwa haijalishi ana miaka mingapi so hata ukimpa mimba mwanafunzi wa kidato cha tano,let's say ana miak 22 still ni kosa kisheria?

Manake mimi huwaga nawasikia wanasheria,kwenye mijadala yao wanadai Tz tumekopi sana sheria kutoka UK na UK kama ukifanya mapenzi na binti wa miaka chini ya 18 ni kosa kisheria ila kuanzia miaka 18 haijalishi kama mwanafunzi huna kosa kisheria.

Ila still bado na tamani tupate wanasheria achambue hili.
Mi mwenyewe nawaza mkuu labda mtoto wa kike alimaliza form four akafeli baada ya kufeli akawa kitaa akapata mimba akajifungua Baadae tuseme aka rudia mitihani aka ingia form five na age imeenda labda kwenye 30 au 27 akiwa form six akapata mimba. Sheria ya huyo mwanafunzi inakuwaje.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Hapo rohoni mwake kanaomba jumba bovu litue kwa Rayvanny hata afungwe. Majani ana kapuuza kwanza. Naamini majani hii ngoma ana play nayo kiutu uzima, alishajua kosa liko wapi, ila wachawi wanakoleza moto hatari
Watu wanafiki kinyama akina wastara hao sjui Steve nyerere ..non sense pumpkin kabisa ...
 
Kaizngua Sana , nimeona Mr True boy Ney wa mitego Kamchana live kamwita kenge......mbna WCB huwa hawaingilii mambo yake ??? Hajui kwamba watu wanamfatilia Sana , na alichoandika kitafanya media zote ziandike , na issue ita-escalate?? Konde boy mnafikri Sana ndo mana Mond huwa anamchunia
Jinsi alivyo mchawi huku mwishoni ameandika kwa kumpa pole
 
Na Majani (baba wa Paula?) naye anasemaje juu ya hizi tuhuma za mtoto wake "kubakwa" na Rayvanny?
 
Hapo rohoni mwake kanaomba jumba bovu litue kwa Rayvanny hata afungwe. Majani ana kapuuza kwanza. Naamini majani hii ngoma ana play nayo kiutu uzima, alishajua kosa liko wapi, ila wachawi wanakoleza moto hatari
Anakazana kuandika Paula Mwanafunzi yeye mbona Mwanafunzi kwa kajala na watu wapo kimya
 
Paula yupo form five shule gani Mzee?? Kama hayupo shule ni Nani wa kumlazimisha aende shule kama akisema sitak , nataka niende college au nifanye biashara cse kiumri tayar yupo authorized kufanya maamuz yake binafs ..na pia Paula ana mimba ya vannyboy,? Au Ile kumuita dady kwenye gari[emoji1787][emoji1787],... Naona mnamuonea wivu vannyboy kumtomba huyo mtoto....
Me paula hata simzungumzii hapaa maana Kitakachomponza Rayvanny ni Ustar wake sio Umri wa paulaa... pila udhalilishaji alioufanya..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Me paula hata simzungumzii hapaa maana Kitakachomponza Rayvanny ni Ustar wake sio Umri wa paulaa... pila udhalilishaji alioufanya..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hehehehe sasa hapo kuna udhalilishaji gani uliofanyika mtu yupo na mpenzi wake ana mwambia i love u dady.Kuna tatizo gani kwenye ile video.?

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Hehehehe sasa hapo kuna udhalilishaji gani uliofanyika mtu yupo na mpenzi wake ana mwambia i love u dady.Kuna tatizo gani kwenye ile video.?

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Wewe huwezi liona tatizo lakini zile ni Picha za ngonoo kabisaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani ukiangalia lazima umtafute beb sasa si udhalilishaji ulee. Kudhalilishwa sio mpaka asukumiwee motoo

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
P Funk ni mkali, ila culture yake inaweza onesha kama ana haribu watoto. Ana culture ya kizungu . Ila jamaa angekuwa ana culture ya kiswahili, watoto wake wange nyooka
Nitaonyeshaje kama ameharibu watoto wakati hao wakubwa wote wanalelewa nje ya uwepo wake.
Kuna tofauti Kati ya tabia ya mtu, ukali na malezi

Pia hakuna fundi wa kulea
 
Ray Vany Kurekodi Video akiwa anafanya ngono na Mwanafunzi ((Paula Mythes) Tanzania inabeza Sana na Tunachukulia Poa Hivi Vitu...Issue ya RayVanny Ingekuwa kwa Wenzetu Angepoteza Vitu Vingi Sana, Deals and Endorsements plus Angekuwa Cancelled kwenye Game.
Serikali pia waangalie hili
Adhabu Kali impate kijana huyu liwe funzo

Britannica
 
Nitaonyeshaje kama ameharibu watoto wakati hao wakubwa wote wanalelewa nje ya uwepo wake.
Kuna tofauti Kati ya tabia ya mtu, ukali na malezi

Pia hakuna fundi wa kulea
Watoto na walele katika maadili ya Mungu, ukiangaliwa

Waefeso 6 - 4
Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, maana hii ndiyo haki.
Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi,
Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.

Nanyi, akina baba, msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni katika adabu na maonyo ya Bwana.

Inatoa picha kamili ya malezi. Nje ya hapo ni janga.
 
Back
Top Bottom