kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
Sasa huyo mwanao kampa mimba mwanafunz,paula sio mwanafunz..ni private candidate tu ambae akipata matokeo yake anaweza nenda chuo,au kazin au form 5 ili akapate sasa status ya uanafunz...dem alipoteza status ya udent alivyofeli..hapo kuja kuitwa dent tena mpaka apate shule ya form 5 ndio akawe School Candidate...sasa sakata kimemkuta akiwa sio dentKuna kesi ya mshkaji wangu ilikuwa ni mwanafunzi wa Form 4 tena kamaliza anasubiri kwenda form five...!! Jamaa alimpa mimbaa mdada ambae mzee wake ni kauzu balaa maana haya mambo huwa mepesi sana kama wazazi wa mwanamke ni waelewa hata kama yakifika polisi yanaweza kurudi kifamilia mkayamaliza lakini USIOMBE NA SEMA USIOMBEE wazazi wa mtoto wa kikw wakukaziee... jamaa yangu alipigwa miaka 30 hadi leo huwa siamini kabisa nahisi jamaa alionewa lakini No ni wazazi wa yule binti ndo walileta Nongwa. Kwa Rayvany hajampa mimba paula ila ustar wake ndo utamponza.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app