Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Kwa elimu yetu ya Tz mara nyingi kama mtoto hajakwama au kufeli hapa kati ,miaka 18 anatimiza akiwa form 5.Huyo binti karisiti mwaka jana na kwa mujibu wa mama yake mwaka huu mwezi wa 7 anaingia form 5,kimahesabu huyu binti mwaka huu anatimiza miaka 19 akiwa form 5.

Sijui sheria zina semaje natamani nipate mwanasheria atupe vifungi still bado sijarizika na jibu lako.
udakuogtz_-photo-2021_02_15_00_21.jpg

Kula kifungu cha katiba achana na mwanasheria ...huyo bint anaenda 20 huko ...acha watu wamtekenye bhana na yupo out of school,
 
P.Fank alikuwa anahojia na mtangazaji akajibu kwamba huyo mtoto kashindika na lawama apewe Mama yake nadhani kuna tabia alikuwana ana muonya inaonesha Kajala alikuwa ana mkingia kifua binti yake baada ya mahojiano Yale huyu binti aliandika akimpenda Mama yake yatosha.
Aiseee
Mtoto kanza uchangudoa mapema nafikiri
 
Natamani hata Van asipewe adhabu labla kama amemkuta bikra binti kutwa yuko Instagram ana lamba midomo na huko shule lazima atatoa kitumbua ili apewe ufaulu kichwani hamna kitu.
 
Natamani hata Van asipewe adhabu labla kama amemkuta bikra binti kutwa yuko Instagram ana lamba midomo na huko shule lazima atatoa kitumbua ili apewe ufaulu kichwani hamna kitu.
Anatoa kitumbua hadi baraza la mitiani hii hatari sasa
 
Mbna mna vichwa vigumu , Paula kavuka miaka 18 anaenda 20 sasa na kamaliza form four , ni yeye kuamua kusoma au kuolewa, no case umri unamruhusu binti kuwa final say hata Sheria za ndoa zinaruhusu
Huyu mtoto Kama hajavuka 18
Huyo kijana kwisha habari yake
Aende jela akasuke uko jela kazidi kujipodoa Sana akapasuwe mawe kidogo awe ngangari kama mwanaume
 
Huyu mtoto Kama hajavuka 18
Huyo kijana kwisha habari yake
Aende jela akasuke uko jela kazidi kujipodoa Sana akapasuwe mawe kidogo awe ngangari kama mwanaume
18 ashavuka huyo mkuu na alisha maliza kidato cha nne na alikuwa kitaa sa sijui hiyo adhabu ya kutembea na mwanafunzi inatoka wapi.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Mbna mna vichwa vigumu , Paula kavuka miaka 18 anaenda 20 sasa na kamaliza form four , ni yeye kuamua kusoma au kuolewa, no case umri unamruhusu binti kuwa final say hata Sheria za ndoa zinaruhusu
Kumaliza kidato cha nne si tija?
Kisha usinambie nakichwa kigumu
 
18 ashavuka huyo mkuu na alisha maliza kidato cha nne na alikuwa kitaa sa sijui hiyo adhabu ya kutembea na mwanafunzi inatoka wapi.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Nisaidie kushangaa na Mimi Paula baada ya kufeli kidato cha NNE alirudia shule gani ?
 
Hata kama alirudia issue ni kuwa she is no longer a student mpaka pale atakopojiunga kidato cha 5. Sasa hivi yeye ni mtu mzima aliyeko mtaani mwenye maamuzi yake binafsi.
Nashangaa Mama yake kuandika ni Mwanafunzi anataka huruma za walimwengu akae kimya upepo upite .
 
Back
Top Bottom