Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Yes ndo maana yangu ilipokua, na niliuliza vile ili majibu yaje hivi.
Hawa mabazazi wanaona sio mtoto kwakua wanaona dogo ashavunjwa bikra, ila motto hata azeeke na mvi awe nazo kwa mzazi bado ni mtoto tu.

Hata hawa wa humu wanaosema yule binti sio mtoto wao pia ni watoto kwa wazazi wao na wao pia watakua na watoto tu maadamu wanazaliana.
 
Mtoto ni mtoto kwa Mzazi.. So Kajala yupo sahihi kabisa kumuita yule binti mtoto.
Hatujakaa kama ni mtoto shida je ni mdogo? Kama ni mdogo anawezaje kufanya mambo tajwa hapo juu? Inaa maana mama huoni
 
Unaweza kuwa na miaka 100 ila kwa mzazi ukawa mtoto je ni mtoto mdogo kweli au...
 
Siungi mkono hoja.Yule ni mtoto na huyo mama yake kila muda utavyokuwa unasonga atakuwa anavuna alichopanda kwa maana msimu wa kuvuna ndio sasa
 
Mbona mama Kanumba mpaka leo anamlaumu mtoto mdogo Lulu kwa kulisukuma jibaba lililokuwanlimeshikia panga(Likanumba)
 
Utaratibu ni Ule ule, Nawa mikono na maji tiririka, Vaa Barakoa, Tumia Sanitizer, Epuka misongamano, Tulia nyumbani πŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…