Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni


Mwanakulifind mwanakuliget ,muda utaongea.
 
Majani mhuni aliwahi kumrekodia nyimbo Chameleon akazengua kumlipa. Alipanda ndege mpaka Kampala na alimnasa Chameleon vibao nyumbani kwake.
 
Sizani Kajala kama anaumia yeye mwenyewe hajiheshim,hatukatai kuwa na mahusiano lkn si kila mahusiano yako mtoto wako ayajue,mf kipindi cha nyuma anadate na Quick Racka kuna clip moja alijirekodi wanakula denda,sasa kama mzazi unamfundisha nini mtoto.
 
Leo umeongea Point sana kama vile siyo Mataga, kula like 5. Uko sahihi mkuu
 
Naamini hiyo ni project lakini maswali ni mengi sana juu ya huyo paula.... kumuweja kwenye spotlight imemharibu zaidi akipata likes 1000 basi anaona ameishakuwa star hapo concentration kwenye masomo inapungua mwisho alizingua......

Wazazi walimfichia ule uozo wa video iliyovuja, ukweli unajulikana yule ni yeye paula....na hata ukimsikiliza P-funk december analalamika ila anashindwa kusema kajala malezi ya paula yamemshinda.....

maana mmekubaliana mtoto asipewe simu ila kajala anampa simu na kumuitia vijana wa photoshot wampige picha aweke instagram......

amefunga comment zake instagram sababu hawezi vumilia kuwa pressurised na watu, hapohapo mama unamruhusu akatengeneze kiki na kina rayvanny......Pfunk alisema mtoto ameshindikana paupa akamjibu baba ake......

All in all malezi ni kazi sana tena sana hasa kwa zama hizi na zinazokuja......najiuliza kina Ummy mwalimu wamewezaje hili maana anamabinti warembo sana na wapo very good darasani na nyumbani.
 
Bado ni mdogo?????

Wahuni hawaangalii utoto, Wahuni wanaangalia kama mkopo mkubwa unapita wanabomoa tu.
 
Ummy mwalimu sio msanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…