Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,010
- 7,360
si wanamuita Chui hahaha ngoja wamzamishe kwenye maji......Ray vanny anamakosa na anastahili kifungo cha 30years kitakachomuokoa labda busara tu za wazazi wa binti.......ila hapo unaweza msamehe ila baada ya week wanaanza toa vijembe kama kawaida yao kuwa chui hafungwi......Amini mzee ndo maana nakwambia Haya mambo kama siyo wewe yanakuhusu unaweza chukulia poa tu.. rayvann anaiweka management pagumu sanaa
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app