Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Hao ni akina nani? Mbina hamfafanui..yaani washkaji zenu kitaa wakifanya jambo mnataka serikali iingilie
 
Imenikumbusha Akon na scandal yake hadi akatoa sorry, blame it on me [ingawa ilikuwa ni Non apology].
 
Kwa hili kajala apewe lawama na si mwanaume aliyekuwa nae kwenye hiyo video mtoto kapewa Uhuru kautumia .
Naona sakata linazidi kuchanja mbuga limefika mpaka redioni watu wanalizungumzia daah...
 
Hakuna kesi pale maana maisha anayoishi mama ndio mtoto Ka paste kisasa zaidi, maana anakalibia 40 anadate na MTU under 27 unategemea nini??

Age ain't nothing but a number paste to her doughter yaah same same product. dogo asomi sema anasubilia kwenda shule na jamaa Ile video hata iperekwa wapi Hana kesi maaana kukisi ni kawaida Sana na lilikuwa busu kavu sio denda.

kijamaa cha mbeya wacha kile vinono ila ungese wake Tu ni kujipost KWAMBA nimemaliza kazi ........maaana unaweza kumlaumu jamaa kumbe mtoto bikei ilitoka mapema Sana sema jamaa kakutwa na mchuzi wanasema Kala nyama.....😂😂😂😂😂
 
Kama kuna kitu kinaniumiza roho wiki hii yote basi ni yule mtoto paula wa kajala, nia na madhumuni yangu yote ni kuja siku moja nimuweke hata ndani yule mtoto...
Unataka kuoa gunia la misumari
 
Ukiingia mtandaoni kila mtu anamnanga Rayvanny kushow love na mtoto wa kajala wa kuitwa paula,

Wanasema Rayvanny karecord porn video akiwa na kajala kisha akaipublish kwa maana amemdhalilisha paula kajala,

Lakini watu wote mi naona wanaongea tu kwa muhemko kwa sababu sijaona hiyo porn yenyewe wanayosemea zaidi ya nyuso tu za watu wawili wakishow love pamoja,

Porn au video mbaya yenyewe wanayosemea ata upaja haionyeshi ata ile unyonyo au mtu kupigwa deki kwenyewe hakuna ni love tu ambalo ata mimi ningeweza kushow kwa sister angu,

Wabongo wanafiki sana wanataka kutulazimisha tumuone Rayvanny mbaya wakati hakuna chochote kibaya alichokifanya,

Kwanza ata huyo paula mwenyewe siyo mtoto tena miaka 18 plus kufanya ngono ni kitu cha kawaida ata katiba inalitambua,

Eti kwa sababu ni star , na mtoto wa star basi asitafunwe ata kama ameshatimiza miaka 18+,

Huku kwetu watoto wanamenywa wakiwa na 15 tu lakini hakuna anaepaza sauti.

Wabongo acheni unafiki Rayvanny ata angeamua kurekord kama ambaruty hiyo ingekuwa ni faragha yao ili mradi wote wanafurahi it's okey,

Either angekuwa amembaka sawa , ila hiyo video mnayosemea kumtetemesha ata ingekuwa mbele bado angetamba tu,
Acheni kutoa mfano kama wa R kelly , yeye aliwanyanyasa kijinsia mabinti chini ya umri wa miaka 18,

ila Rayvanny na paula wao wameshow love tu tena wote wakiwa above 19 hakuna kosa.(hakuna evidence kama rayvanny na paula walikulana)

Zaidi ni kwamba ata kama ni kweli walikulana bado hakuna kosa hapo .

Rayvanny we kaa tulii wacha vichwa mbovu waongee we endelea kula vyako hakuna cha kuogopa.


Cc Zero IQ
 
Back
Top Bottom