Sawa kuna mtu amesema ,sheria inasema mtoto wa miaka 18 na kuendelea anajitambua.Kampe mimba utapata majibu, huko juu mtu kasema kuna jamaa alimla mdogo wake form six akarekodi picha chafu. Yupo anakula sembe la gerezani
Humu ujue tungepata mwanasheria angeweka sawa.