Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Amini mzee ndo maana nakwambia Haya mambo kama siyo wewe yanakuhusu unaweza chukulia poa tu.. rayvann anaiweka management pagumu sanaa

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
si wanamuita Chui hahaha ngoja wamzamishe kwenye maji......Ray vanny anamakosa na anastahili kifungo cha 30years kitakachomuokoa labda busara tu za wazazi wa binti.......ila hapo unaweza msamehe ila baada ya week wanaanza toa vijembe kama kawaida yao kuwa chui hafungwi......
 
Binafsi nilitegemea hii ishu ikijadiliwa kisheria time hii, wanaharakati wa haki za watoto wa kike wawe wameshatoa maneno kama sio mapovu ya kujaza ndoo, ila kimyaaaaaaa au harakati zinaishia kwenye kupigwa tu?
Watanzania sisi ni dunia nyingine aisee.
 
Hivi unajua shule binafsi watoto hawafiki darasa la saba, huishia la tano kupelekwa form one? Wanakuja kuingia wana miaka 11 au 12 wanakuja kumaliza form four na miaka 14 au 15.

Tusikariri mambo, nyakati zimebadilika
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha nyota tano, sasa iyo video iko wapi mbona hamjaiweka humu aaaaahhhghhhb
 
Kwa haijalishi ana miaka mingapi so hata ukimpa mimba mwanafunzi wa kidato cha tano,let's say ana miak 22 still ni kosa kisheria?...
Kampe mimba utapata majibu, huko juu mtu kasema kuna jamaa alimla mdogo wake form six akarekodi picha chafu. Yupo anakula sembe la gerezani
 
Kama kuna kitu kinaniumiza roho wiki hii yote basi ni yule mtoto paula wa kajala, nia na madhumuni yangu yote ni kuja siku moja nimuweke hata ndani yule mtoto...
Na hiki ndo kinachowaumiza wengi , Vannyboy kumvua chupi huyo mtoto wahuni imewauma kinyama , akiwemo na konde boy
 
wazee dullah makabila aliharibu nini naona kama mnashindwa kwenda deep....
 

Hivi unajua shule binafsi watoto hawafiki darasa la saba, huishia la tano kupelekwa form one? Wanakuja kuingia wana miaka 11 au 12 wanakuja kumaliza form four na miaka 14 au 15.

Tusikariri mambo, nyakati zimebadilika
Haters 🤣🤣 mwacheni mtoto anyonye rungu la vannyboy ,na hafungwi mtu , kama vipi tubeti, nawaruhusu mjiwekee odd kubwa
 
Hiyo video ya manyama ndani manyama nje iko wapi?
 
Afu video yenyewe sio ya ajabu yani kwa familia nyingine baba na mtoto wake wanaweza kufanya icho kitu yani ni cha kawaiiida mno ila kinavokuzwa utazani paula alikua kainamishwa kumbe ni kiss tu tena ya shavuni.

Wabongo kwa kukuza mambo bna hamjambo.

Yote kwa yote acha rayvany ajilie bna
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mkuu tuwekee video nasi tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…