Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Kampe mimba utapata majibu, huko juu mtu kasema kuna jamaa alimla mdogo wake form six akarekodi picha chafu. Yupo anakula sembe la gerezani
Sawa kuna mtu amesema ,sheria inasema mtoto wa miaka 18 na kuendelea anajitambua.

Humu ujue tungepata mwanasheria angeweka sawa.
 
Hivi unajua shule binafsi watoto hawafiki darasa la saba, huishia la tano kupelekwa form one? Wanakuja kuingia wana miaka 11 au 12 wanakuja kumaliza form four na miaka 14 au 15...
Sijakataa kuna watoto special wengine wanarushwa darasa na wengine wanaanza mapema,vip kwa kesi ya Paula je yeye kwa sasa ana miaka mingapi au naye alirushwa darasa au aliwahi kuanza?

Manake mpaka sasa yeye ni private candidate,kuna mtu humu katoa mfano labda imetokea demu form 4 aliharibu na akapewa mimba,kalea mimba yake baada ya miak mitatu karisti mwaka wa nne akarudi shule kumaliza six let's say ana miaka 20 kaanza form 5,je akipewa mimba je jamaa huyo aliyempa mimba miaka 30 itamuhusu?

Ningependa unipe kifungu.
 
Kama kuna kosa la jinai iweje asamehewe na wazazi?

Jinai yoyote huwa ni kati ya Jamhuri vs Mtuhumiwa, mtendewa huwa kama shahidi tu
 
Kama kuna kosa la jinai iweje asamehewe na wazazi?

Jinai yoyote huwa ni kati ya Jamhuri vs Mtuhumiwa, mtendewa huwa kama shahidi tu
Mkuu kwahiyo wazazi waiachie jamhuri ideal na kijana?
 
Grade one siyo standard one.. Acha kukariri.. Grade one ni chekechea
umeishia la ngapi Mkuu ?? Umesoma soma kidogo?
Well ngoja nikupe elimu ya bure
Hakuna nursery yenye grade one

ni creche, FS1 na Fs2 hiyo ni nursery kwa shule inayotumia system ya Cambridge then inakuja year one ( ambayo ni darasa la kwanza)

kwa hizi English medium za necta wanaanza na baby class , pre unit n.k ndio nursery
 
Ni kwamba Paula anafikisha miaka 19 mwaka huu July..so bado yupo 18. Rayvanny ana kesi ya kujibu
 
Ni kwamba Paula anafikisha miaka 19 mwaka huu July..so bado yupo 18. Rayvanny ana kesi ya kujibuView attachment 1703326
Miaka 18 huna kesi,sheria inasema below 18 yrs but 18 yrs and above huyo ni mtu mzima.

Kwa wenzetu ulaya hata ukifanya mapenzi na binti below 18yrs una kesi ya kujibu,ila kama ana miaka 18 na kuendelea kesi hamna hapo.
 
Malaya hawezi kuzaa mchunguji hata siku moja

Malaya huzaa malaya
 
Paula Mtoto wa Kajala! Siyo Paula Binti wa P Funk!! Kweli kuna shida ktk jamii sasa wanawake wanataka kutuaminisha mtoto ni mali ya mama peke yake. Hili neno Paula Kajala linatamalaki sana
 
Ipo hivyo ila hiyo post yako yenye picha imekata mzizi wa fitina kesi hamna hapo.

Cha msingi Kajala aya tathimini maisha yake na abadilike mambo yake ya mahusiano ayafanye mbali na mtoto wake.Mwenzake Monalisa kazalishwa na wanaume watatu tofauti lkn hajawahi kupost mambo ya kipuuzi kama afanyavyo yy.

Pili afute acc zote za social networks,amnyanganye simu na amuweke mbali na bongo movies wenzie na amweke mbali na mitandao ya jamii.

Amtafutie shule ambayo hawaruhusu kutumia simu na yenye sheria kali upande wa malezi na maadili,mpaka akimaliza form 6.

Hapo ndipo atamsidia mwanae hajachelewa bado.

Ila pamoja na jamaa wanamuona mtu wa bangi,ila haya yanayo tokea leo alisha ya ongea na aliyaona.
 
Una utani kijanaa Kampe mimba mwanafunzi wa Form Five mwenye Miaka 20 alafu ndo utajua hujui[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaaaah umemalizaaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…