Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Narudia..tuheshimiane. inawezekana mimi ni bibi yake Paula. namaanisha huwezi kumlinganisha mtu wa kwenye 40s na teenager. sijui umenielewa sasa?
Sasa kama Una miaka 40 ya Paula yanakuhusu nin , Au hamtaki Vannyboy amuoe Paula ? Au mabinti zenu nyie wakoje jaman tunatamani tuwaone tushuhudie malezi Bora mnayowapa kumzidi Paula
 
Sababu ni kuwa tunazaa. tuna watoto wa kike. Unashika tumbo la uzazi na kumuomba Mungu akuepushie haya.

Chura? huyo Paula ni mtoto sana kwangu. Tuheshimiane kidogo
Haya leo kwasababu hao wote ni ma Celebs, ila mambo kama hayo hapa Tandale au mwananyamala, watoto zaidi ya Paula wanafanya sana na huenda wengine neo huwafanya na wenye umri mkubwa kuliko Rayvanny. Wazazi wa sasa hivi, wamepitiwa sana kimalezi, na kujisahau kabisa watoto walelewe na social netwrok na magenge
 
Chuiiiii 🐆🐆🐆🐆🐆🐆
 
Kuna video tofauti na ile wanayo kisi ?
 
Sijajua mimi niliyo iona ni moja wakiwa wana kiss,sijui kama kuna nyingine.
Ile video haina maajabu sana, kama mama kajala alivyo kiwasha, na behind mama kajala kuwasha moto ni Njomba Nchumali. Hiyo issue kweli kuna eneo Rayvanny anaweza kuwa na makosa ya ku publish, ila. Moto kauwasha hasa Njomba Nchumali kupitia Kajala. Kajala anajua mabwana wa mtoto wake na hilo la Harmonize kama walikuwa wana date huenda pia alikuwa anajua. Hapo wanaunda mazingira ya fine ( kupiga hela ), ila sizani kama itakuwa rahisi
 
Huyu anaitwa sijui kajala naona anaenda kuFail vibaya na kibaya kakurupuka na kujivuruga vibaya sana na asipo changa vizuri karata zake naona jela itaweza kumuhusu.
 
Huyu anaitwa sijui kajala naona anaenda kuFail vibaya na kibaya kakurupuka na kujivuruga vibaya sana na asipo changa vizuri karata zake naona jela itaweza kumuhusu.

Rayvanna lazima apigwe mvua 30.
 
Narudia..tuheshimiane. inawezekana mimi ni bibi yake Paula. namaanisha huwezi kumlinganisha mtu wa kwenye 40s na teenager. sijui umenielewa sasa?
Sasa dada Paula ana utoto upi wakati tayali ameshabalehe? Me naona mnamuonea wivu tu mtoto wa watu bure
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee khaaaaah lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…