Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
- Thread starter
- #941
Sasa kama Una miaka 40 ya Paula yanakuhusu nin , Au hamtaki Vannyboy amuoe Paula ? Au mabinti zenu nyie wakoje jaman tunatamani tuwaone tushuhudie malezi Bora mnayowapa kumzidi PaulaNarudia..tuheshimiane. inawezekana mimi ni bibi yake Paula. namaanisha huwezi kumlinganisha mtu wa kwenye 40s na teenager. sijui umenielewa sasa?