Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Narudia..tuheshimiane. inawezekana mimi ni bibi yake Paula. namaanisha huwezi kumlinganisha mtu wa kwenye 40s na teenager. sijui umenielewa sasa?
Sasa kama Una miaka 40 ya Paula yanakuhusu nin , Au hamtaki Vannyboy amuoe Paula ? Au mabinti zenu nyie wakoje jaman tunatamani tuwaone tushuhudie malezi Bora mnayowapa kumzidi Paula
 
Sababu ni kuwa tunazaa. tuna watoto wa kike. Unashika tumbo la uzazi na kumuomba Mungu akuepushie haya.

Chura? huyo Paula ni mtoto sana kwangu. Tuheshimiane kidogo
Haya leo kwasababu hao wote ni ma Celebs, ila mambo kama hayo hapa Tandale au mwananyamala, watoto zaidi ya Paula wanafanya sana na huenda wengine neo huwafanya na wenye umri mkubwa kuliko Rayvanny. Wazazi wa sasa hivi, wamepitiwa sana kimalezi, na kujisahau kabisa watoto walelewe na social netwrok na magenge
 
Private candidate huwa wanasoma wengine wameolewa , mfumo rasmi wa shule hauruhusu hayo mambo , Paula yupo out of school , na Hana mpango wa kwenda form five ndo mana mpak sasa anakula bata na mtu mbadi, umri soon anagonga 19 kama sio 20, tumekarbia kusambaza Kadi za Harusi ya Paula na Vannyboy .....
Chuiiiii 🐆🐆🐆🐆🐆🐆
 
Kwa hiyo mama yake alivyo mposti wananae july 2018 katimizia miaka 16 so alikuwa anasema uwongo ?
So kama alikuwa anasema uwongo kwa faida ya nani?

Sawa miss Tanzania kafoji umri,so sizani kama kesi ya kufoji umri ya huyo mtoto wa miss Tz na Paula kama zina fanana ,sababu mpaka sasa bado haija thibitishwa.

Alafu kama mzazi aliyekuwa makini, sensitive kwa mwanae kwa nini asinge react kipindi kile kile alichogundua mwanawe kapewa pombe na kubakwa? Ina maana alikuwa anasubiri video ivuje ndio aende mahakamani kudai mwanae kabakwa? Haimake sense.Manake kama angeenda siku hiyo hiyo aliyegundua mwanae kaleweshwa na kubakwa angewasaidia wataalam wa forensic kupata ushahidi wa uhakika.Manake hapo kesi itaendeshwa kwa kielelezo cha hiyo video.
Kuna video tofauti na ile wanayo kisi ?
 
Sijajua mimi niliyo iona ni moja wakiwa wana kiss,sijui kama kuna nyingine.
Ile video haina maajabu sana, kama mama kajala alivyo kiwasha, na behind mama kajala kuwasha moto ni Njomba Nchumali. Hiyo issue kweli kuna eneo Rayvanny anaweza kuwa na makosa ya ku publish, ila. Moto kauwasha hasa Njomba Nchumali kupitia Kajala. Kajala anajua mabwana wa mtoto wake na hilo la Harmonize kama walikuwa wana date huenda pia alikuwa anajua. Hapo wanaunda mazingira ya fine ( kupiga hela ), ila sizani kama itakuwa rahisi
 
IMG_20210216_094505.jpg

Kamati ishakaa huko , soon tunapiga mtu kipapai 🤣 kishumundu konde anajidai anajua Sana ...!!
 
Huyu anaitwa sijui kajala naona anaenda kuFail vibaya na kibaya kakurupuka na kujivuruga vibaya sana na asipo changa vizuri karata zake naona jela itaweza kumuhusu.
 
Huyu anaitwa sijui kajala naona anaenda kuFail vibaya na kibaya kakurupuka na kujivuruga vibaya sana na asipo changa vizuri karata zake naona jela itaweza kumuhusu.

Rayvanna lazima apigwe mvua 30.
 
Narudia..tuheshimiane. inawezekana mimi ni bibi yake Paula. namaanisha huwezi kumlinganisha mtu wa kwenye 40s na teenager. sijui umenielewa sasa?
Sasa dada Paula ana utoto upi wakati tayali ameshabalehe? Me naona mnamuonea wivu tu mtoto wa watu bure
 
Private candidate huwa wanasoma wengine wameolewa , mfumo rasmi wa shule hauruhusu hayo mambo , Paula yupo out of school , na Hana mpango wa kwenda form five ndo mana mpak sasa anakula bata na mtu mbadi, umri soon anagonga 19 kama sio 20, tumekarbia kusambaza Kadi za Harusi ya Paula na Vannyboy .....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee khaaaaah lol
 
Back
Top Bottom