Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Video gani hiyo ya faragha ? Mabusu siku hizi ni faragha ? Kumpenda mtu ba kumuambia love you daddy ni faragha ? . Nakuambia kungekuwa na faragha TCRA au BASAT wangemlukia VanBoy kama mwewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mnavopinga khaaah, sasa ni nani eti hebu tueleze.
Acount fake hizo, nenda ka search jina Paula Kajala, wanakuja kibao. Huyo sio yeye. Na kama angekuwa yeye wangetoa via waandishi wa habari, ungeona huko kwenye ma channel ya youtube live.. inabidi na weww nikutafute nikupige mabusu alafu nipost
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oooooh kumbe bas sawaaaah, wengine hatuko duniani tatzo, tupo sayari nyingne tuna zoom tyuuh.
 
Video gani hiyo ya faragha ? Mabusu siku hizi ni faragha ? Kumpenda mtu ba kumuambia love you daddy ni faragha ? . Nakuambia kungekuwa na faragha TCRA au BASAT wangemlukia VanBoy kama mwewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Si ndio tinawafurahisha haters 🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oooooh kumbe bas sawaaaah, wengine hatuko duniani tatzo, tupo sayari nyingne tuna zoom tyuuh.
Itabidi nikurecord kabisa wakati tuna kwichi kwichi, hiyo ndio itakuwa faragha sasa. Sio tule tu picha
 
Si ndio tinawafurahisha haters 🀣
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hawama jipya, wanarukia rukia tu hoja.. mwisho wa siku watarukia moto na sie tutapeleka tu moto.. maana usipowapelekea moto wanakuwa na maneno maneno mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…