cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kwani wee huoni au?Ile video ina tatizo gani? Tuanzie kwanza hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wee huoni au?Ile video ina tatizo gani? Tuanzie kwanza hapa
Ndio uniambie, binafsi naona Ni ya kawaida Sana Hakuna mambo Kama ya kina Amber ruttyKwani wee huoni au?
Jana Konde anasema eti paula ni mwanafunzii...Kosa la rayvan kupost insta.
Ko mnafundishwa kumuombea mtu mabaya? Je uliowafanyia mabaya unataka wakuombeeje?Waamini wa Imani zingine tunafundishwa kuwaombeana ili kutoka kwenye laana kama hizo
Sio upendeleo bali ni maombi
Basi sawa kama huoni, tuishie hapo. Tutazame tu mchezo kusubiri matokeo.Ndio uniambie, binafsi naona Ni ya kawaida Sana Hakuna mambo Kama ya kina Amber rutty
Hata yeye Paula kasema yeye ni mtoto na anataka kuendelea na masomo yake, means mwanafunzi.
Acha utopolo, huyo sio PaulaHata yeye Paula kasema yeye ni mtoto na anataka kuendelea na masomo yake, means mwanafunzi. View attachment 1704407
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mnavopinga khaaah, sasa ni nani eti hebu tueleze.Acha utopolo, huyo sio Paula
Video gani hiyo ya faragha ? Mabusu siku hizi ni faragha ? Kumpenda mtu ba kumuambia love you daddy ni faragha ? . Nakuambia kungekuwa na faragha TCRA au BASAT wangemlukia VanBoy kama mwewe 😀😀😀Kwa hyo mkuu we hoja yako ni ipi inayokupa nguvu kwamba Vanboy atafungwa ili tukusaidie?? 1. Paula kuleweshwa: huo ni uongo mtupu, Ushahidi upo wa kutosha
2.Umri: binti yupo 19 huko
3.Shule: sio mwanafunzi , tutajie shule anayosoma... Hapa sijagusia masuala ya private candidate
4. Paula kumgeuka Rayvanny: Hii haipo labda Yesu aje , Paula anampenda Rayvanny to the maximum
5. Hoja ya Paula kupata mimba: wacha nitabasamu 😀😀😀
6.Amerekodiwa wakifanya Mapenzi : Nacheka kidogo 😀😀😀😀 istoshe aliyekuwa anarekodi ni Paula mwenyewe wakifurahi hakuna indicator yyte ya menina na amberruty
6. Kuvujisha video ya Faragha bila ridhaa ya mhusika : Hakuna ajuaye kama Paula hakuridhia japo indicator zinaonyesha Paula alikuwa full aware
Hoja inayobak hapa yenye nguvu ni kosa la kuweka video ya Faragha ya mtu na mpenzi wake kwenye public .....
Acount fake hizo, nenda ka search jina Paula Kajala, wanakuja kibao. Huyo sio yeye. Na kama angekuwa yeye wangetoa via waandishi wa habari, ungeona huko kwenye ma channel ya youtube live.. inabidi na weww nikutafute nikupige mabusu alafu nipost[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mnavopinga khaaah, sasa ni nani eti hebu tueleze.
Majanga sanaa hayaa..Hata yeye Paula kasema yeye ni mtoto na anataka kuendelea na masomo yake, means mwanafunzi. View attachment 1704407
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oooooh kumbe bas sawaaaah, wengine hatuko duniani tatzo, tupo sayari nyingne tuna zoom tyuuh.Acount fake hizo, nenda ka search jina Paula Kajala, wanakuja kibao. Huyo sio yeye. Na kama angekuwa yeye wangetoa via waandishi wa habari, ungeona huko kwenye ma channel ya youtube live.. inabidi na weww nikutafute nikupige mabusu alafu nipost
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91], mjini pazito hapaaah lol
Itabidi nikurecord kabisa wakati tuna kwichi kwichi, hiyo ndio itakuwa faragha sasa. Sio tule tu picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oooooh kumbe bas sawaaaah, wengine hatuko duniani tatzo, tupo sayari nyingne tuna zoom tyuuh.
😀😀😀 hawama jipya, wanarukia rukia tu hoja.. mwisho wa siku watarukia moto na sie tutapeleka tu moto.. maana usipowapelekea moto wanakuwa na maneno maneno mengiSi ndio tinawafurahisha haters 🤣
Usinambie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itabidi nikurecord kabisa wakati tuna kwichi kwichi, hiyo ndio itakuwa faragha sasa. Sio tule tu picha