Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Jana Konde anasema eti paula ni mwanafunzii...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hata yeye Paula kasema yeye ni mtoto na anataka kuendelea na masomo yake, means mwanafunzi.
FB_IMG_16134775140305334.jpg
 
Kwa hyo mkuu we hoja yako ni ipi inayokupa nguvu kwamba Vanboy atafungwa ili tukusaidie?? 1. Paula kuleweshwa: huo ni uongo mtupu, Ushahidi upo wa kutosha
2.Umri: binti yupo 19 huko
3.Shule: sio mwanafunzi , tutajie shule anayosoma... Hapa sijagusia masuala ya private candidate
4. Paula kumgeuka Rayvanny: Hii haipo labda Yesu aje , Paula anampenda Rayvanny to the maximum
5. Hoja ya Paula kupata mimba: wacha nitabasamu 😀😀😀
6.Amerekodiwa wakifanya Mapenzi : Nacheka kidogo 😀😀😀😀 istoshe aliyekuwa anarekodi ni Paula mwenyewe wakifurahi hakuna indicator yyte ya menina na amberruty
6. Kuvujisha video ya Faragha bila ridhaa ya mhusika : Hakuna ajuaye kama Paula hakuridhia japo indicator zinaonyesha Paula alikuwa full aware

Hoja inayobak hapa yenye nguvu ni kosa la kuweka video ya Faragha ya mtu na mpenzi wake kwenye public .....
Video gani hiyo ya faragha ? Mabusu siku hizi ni faragha ? Kumpenda mtu ba kumuambia love you daddy ni faragha ? . Nakuambia kungekuwa na faragha TCRA au BASAT wangemlukia VanBoy kama mwewe 😀😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mnavopinga khaaah, sasa ni nani eti hebu tueleze.
Acount fake hizo, nenda ka search jina Paula Kajala, wanakuja kibao. Huyo sio yeye. Na kama angekuwa yeye wangetoa via waandishi wa habari, ungeona huko kwenye ma channel ya youtube live.. inabidi na weww nikutafute nikupige mabusu alafu nipost
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oooooh kumbe bas sawaaaah, wengine hatuko duniani tatzo, tupo sayari nyingne tuna zoom tyuuh.
 
Video gani hiyo ya faragha ? Mabusu siku hizi ni faragha ? Kumpenda mtu ba kumuambia love you daddy ni faragha ? . Nakuambia kungekuwa na faragha TCRA au BASAT wangemlukia VanBoy kama mwewe 😀😀😀
Si ndio tinawafurahisha haters 🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oooooh kumbe bas sawaaaah, wengine hatuko duniani tatzo, tupo sayari nyingne tuna zoom tyuuh.
Itabidi nikurecord kabisa wakati tuna kwichi kwichi, hiyo ndio itakuwa faragha sasa. Sio tule tu picha
 
Back
Top Bottom