Nachojua Mimi Paula yupo mikono salama ya Vanboy Mtu mbaya
HahahaaaSo, Rayvann , Harmonize ni baba mkwe wake kama ilivyo kajala ni mama mkwe ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
Gerezani hawaendi wenye hela kirahisi.. now Rayvan ana pesa na connection kubwa Ndani ya Selikali kuliko Majani.. hivyo siyo rahisi Kama unavyodhani.hii ni mbinu CHAFU ya wasafi na genge lao lile likiongozwa na boya nasibu nyange , kwakua wameona harmonize alikua anatrend zaidi ya wiki sasa na ana nyimbo mpya inakuja, wakaona sasa ngoja watumie mbinu chafu ya kutembea na mtoto wa kajala ambaye harmonize ana date naye, harmonize kua in love na kajala sio kosa na wote ni watu wazima, sasa wao wakaona ngoja tumkomeshe kwa kutembea na binti yake.. mbinu hio hawakujali kua hata kama itawaharibu profile mtoto mdogo kama paula, na wazazi wake, wao lengo lao ilikua ni kuharibu Kabisa trend ya harmonize sababu ya chuki kubwa waliyonayo kwake , japo wamefanikiwa lakini hii itakuja ku backfire vibaya sana ...Mimi ningekua Ndio baba wa huyo mtoto japo kama mzazi naelewa kadhia hii mbaya nisingejali kama ni nasibu wala nani amehusika, ningehakikisha chain yote iliyohusika naimaliza yote , either wafe au waende gerezani.
hii ni mbinu CHAFU ya wasafi na genge lao lile likiongozwa na boya nasibu nyange , kwakua wameona harmonize alikua anatrend zaidi ya wiki sasa na ana nyimbo mpya inakuja, wakaona sasa ngoja watumie mbinu chafu ya kutembea na mtoto wa kajala ambaye harmonize ana date naye, harmonize kua in love na kajala sio kosa na wote ni watu wazima, sasa wao wakaona ngoja tumkomeshe kwa kutembea na binti yake.. mbinu hio hawakujali kua hata kama itawaharibu profile mtoto mdogo kama paula, na wazazi wake, wao lengo lao ilikua ni kuharibu Kabisa trend ya harmonize sababu ya chuki kubwa waliyonayo kwake , japo wamefanikiwa lakini hii itakuja ku backfire vibaya sana ...Mimi ningekua Ndio baba wa huyo mtoto japo kama mzazi naelewa kadhia hii mbaya nisingejali kama ni nasibu wala nani amehusika, ningehakikisha chain yote iliyohusika naimaliza yote , either wafe au waende gerezani.
hii ni mbinu CHAFU ya wasafi na genge lao lile likiongozwa na boya nasibu nyange , kwakua wameona harmonize alikua anatrend zaidi ya wiki sasa na ana nyimbo mpya inakuja, wakaona sasa ngoja watumie mbinu chafu ya kutembea na mtoto wa kajala ambaye harmonize ana date naye, harmonize kua in love na kajala sio kosa na wote ni watu wazima, sasa wao wakaona ngoja tumkomeshe kwa kutembea na binti yake.. mbinu hio hawakujali kua hata kama itawaharibu profile mtoto mdogo kama paula, na wazazi wake, wao lengo lao ilikua ni kuharibu Kabisa trend ya harmonize sababu ya chuki kubwa waliyonayo kwake , japo wamefanikiwa lakini hii itakuja ku backfire vibaya sana ...Mimi ningekua Ndio baba wa huyo mtoto japo kama mzazi naelewa kadhia hii mbaya nisingejali kama ni nasibu wala nani amehusika, ningehakikisha chain yote iliyohusika naimaliza yote , either wafe au waende gerezani.
Karma is bae!!!Enzi hizooo majani alikuwa anamla kajala mwanafunzi wa kidato cha tatu KARMA is sweat
Wazazi kumbe wanauchungu hivi 😀😀“Mimi ni mzazi ambaye namlea mtoto wangu kwa katika mazingira magumu sana kutokana na tofauti moja mbili tatu na baba mtoto wangu lakini mimi nilikuwa nikipambana na kumpa kila anachotaka mtoto wangu ili aweze kutimiza ndoto zake kama msichana mana kesho nitakuja kumtegemea”
“Nilikua nikikumbana na changamoto tofauti tofauti ambazo zinamkumba paula kama msichana lakini shutuma nyingine huwa zinanijia mimi direct kama mzazi wa paula sina budi ya kuzipokea na kukumbana nazo as long as Mungu anajua ukweli wangu ,jinsi gani namtunza mwanangu na kiasi gani napambana kwa ajili ya mwanangu”
“Yote yaliyotokea ya kunichafua na kunifanya nionekane mbaya kwenye jamii huwa namwachiaga Mungu tu, ilikua tarehe 9 saa 6 mchana hamisa mobeto aliniomba kutoka lunch na mwanangu, sikuona haja kumkatalia kwa sababu nilijua yeye ni mzazi ambaye ana mtoto pia wa kike,kumbe ndo hiyo siku alitake advantage kwenda kumkutanisha na rayvanny kwa manufaa yake binafsi,walimrubuni mtoto mdogo kwa kumnywesha pombe”
“Wamemrekodi video Chafu sawa mimi ni Mnyonge siwezi wafanya Chochote basi Hata Muogopeni Mungu Kama Mungu Hamumuoni Hamuiogopi serikali ? na kuvujisha video bila woga wakati ni mtoto mdogo anasubiria mwezi wa 6 kuingia form 5 siamini kama kuna alie juu ya sheria Katika taifa hili kama leongo lilikuwa ni Kudet Mtoto Mdogo ili Kutimiza Matendo Haya Machu Ya Kustaajabisha haitoshi mnampatia mtoto pombe na kumrecord Video chafu lengo lilikuwa nini Kama sio kuharibu Maisha ya msichana wa kitanzania?”
“Nimeumizwa mno na Hamissa mzazi mwenzangu hata kama iwe paula ndo alimwambia anaenda kukutana na rayvanny kama yeye mzazi ange Vaa kiatu changu na kujiuliza kinachoenda kutokea ni kitu gani au kama ni mimi nafanyiwa hivi ningejisikiaje? nimeshikwa na bumbuazi sina nguvu naomba Mamlaka husika wanisaidie kwenye hili mana hili pigo ni lawazazi Wote Duniani”
“Paula ni msichana mdogo sana ana ndoto zake leo hii ameharibiwa profile nzima Je mmefikiria maamuzi gani anaweza chukua huyu mtoto kuona video kama hizi zinatambaa mtandaoni kama akiamua kujinyonga je? naomba sana msaada serikali yangu na mamlaka husika juu ya hili” - Kajala
Source: Millard Ayo
Watoto wa masuper star 🙌🙌Msanii Kajala Masanja ameibuka na kuitaka serikali iwachukulie hatua Hamisa Mobetto na Rayvanny kwa kumnywesha pombe binti yake aitwaye Paula na kisha kumrekodi video kuashiria yupo katika mahaba na Rayvanny. Awali zilivuja mtandaoni video zilizoonesha Rayvanny na Paula wakiwa katika penzi zito.
Kajala amedai siku ya tukio Hamisa alimuomba Kajala atoke na Paula wakatembee kumbe alikuwa na ajenda ya siri, alimchukua Paula na kwenda naye kwa Rayvanny ambapo walimnywesha pombe na Kisha kumrekodi kipande cha video chenye maudhui ya mapenzi mazito.
Punde baada ya kipande hicho cha video kuachiwa mtandaoni Rayvanny aliachia kipande cha wimbo kilichotafsiriwa Kama wimbo kwa ajili ya Paula.
Kitendo hicho kimetafsiriwa na wataalamu wa mambo Kama kiki ili tu Rayvanny naye apate kutrend hasa ikizingatiwa kuwa mama yake na Paula yaani Kajala anatoka na Harmonize.
Lakini je nini hatima ya sokomoko hili endapo mamlaka za serikali zikiingilia kati kuitikia wito wa Kajala anayedai binti aliyenyweshwa pombe ni mwanafunzi na mwenye umri mdogo?
Je hili halitamtia Rayvanny matatani kumnywesha pombe binti wa miaka 17 tena mwanafunzi na kumrekodi? View attachment 1702362View attachment 1702363