joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
P Funk hata haja changanyikiwa na ndio maana hata polisi hajaenda,kamwachia mama,paula na baba wa kufikia Kondeboy wahangaike na kesi.Pfunk amechanganyikiwa yanii yule kwa nje ya nchi nae Mondi anamkata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapana aisee hili ni pigooo kugongewaa mke mpaka watoto.... na hawawaoii
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Na litafulia tu kisanaa na kipesa.. li.markmuga lijalo ππJinga sana lile jamaa π€£π€£π€£π€£
Sure, ile ilikuwa kama kiki iliyopangwa na Majani na mtoto wake, na alisema account ya mwanae ilipata follower wa kutosha na kujulikana na ndicho alichokuwa analengaP Funk hata haja changanyikiwa na ndio maana hata polisi hajaenda,kamwachia mama,paula na baba wa kufikia Kondeboy wahangaike na kesi.
Kaamua kukaa pembeni haya yaliyo tokea leo aliya ongea kipindi cha nyuma,kaamua kukaa pembeni.
Yule wa nje P Funk alidai ni biashara aliongea mwenyewe hamna huusiano wowote na Mondi.
Au tulitimbie tulipasue pasue puto lile πππJinga sana lile jamaa π€£π€£π€£π€£
Inawezekana sababu kwani baada ya picha kupostiwa na Mondi,ndipo akapata deal GSM la kutangaza jezi na madela ya Yanga.Sure, ile ilikuwa kama kiki iliyopangwa na Majani na mtoto wake, na alisema account ya mwanae ilipata follower wa kutosha na kujulikana na ndicho alichokuwa analenga
Na ndio ilikuwa hivyo na hata Majani alijibu hivyo, alimuomba Diamond ampost. Account ya diamond inaangaliwa sana duniani na watu wengi, hata leo aki mpost mtu yeyeyoye ni lazima huyo mtu waanze fukunyua ni nani huyo.Inawezekana sababu kwani baada ya picha kupostiwa na Mondi,ndipo akapata deal GSM la kutangaza jezi na madela ya Yanga.
Rudi Facebook tu mzeeHapana sikima Konde kwa Hiyo rayvanni hametoka kituoni
Alafu et alikuwa mwanafunzi. Kuna mtu wa kusoma kweli hapo?????π€£π€£π€£π€£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rudi Facebook tu mzee
Week 2 hizi Konde kasumbua lol.
Mwanafunzi wa elimu ya watu wazima πππAlafu et alikuwa mwanafunzi. Kuna mtu wa kusoma kweli hapo?????π€£π€£π€£π€£
π π πKudadadadeki......Mama anagongwa kule ,Mtoto anabinuliwa huku.....Mama anagongwa kifo cha Mende kule,...Mtoto anachumishwa Matembele huku .
Week 2 hizi Konde kasumbua lol.
Hakika kabisaaahAna akili sana yule mtoto. Atafika mbali sana akiilinda reputation yake.