Kama kuna kitu kinaniumiza roho wiki hii yote basi ni yule mtoto paula wa kajala, nia na madhumuni yangu yote ni kuja siku moja nimuweke hata ndani yule mtoto
Kila nikimuonaga kwenye page yake huyu binti hali inabadilika napataga hisia za ghafla tu na hasa hisia za kuoaoa, yani machoni mwangu kale katoto nakaona kamekamilika kila idara yani kifupi ile ni package, kila mtu na mtazamo wake machoni kwaio tunaweza pia kutofautiana
Sasa tangu majuzi nione zile clip yupo na yule jamaa aisee nakosa raha mwenzenu daah sijui nisemaje, aisee sijui niseme nimekata tamaa sijui niseme namuonea wivu yule jamaa yani sijui nisemaje
Lakini yote juu ya yote yote yatakwisha na nitampata tu na nitamuonga kamshahara kangu kote