Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,649
Sheria si ujanja janja. Wala sheria si ushabiki. Wala sheria haitafusriwi kwa mtu anavyodhani au kukwepakwepa.Siyo rahisi kumshitaki Ray kwa kosa la kubaka as you think. Rape ina ingridients 2. Penetration na lack of consent....wewe unajuaje kama walifanya ngono? Kama walifanya ni muda umepita tangu wafanye hadi kupostiwa kwa videos hizo. Hiyo evidence ya penetration haipo now, maana lazima kuwe na ushahidi kuwa muhusika aliingiliwa bila ridha yake..
Mpe moyo Rayvan lakini kama kweli serikali ikiamua kulivalia njuga Ray ataumia. Naomba ufatilie kesi nyingi za ubakaji. Ndo utajua. Hizi sheria zilitungwa ili kuwalinda wanawake.
Ni sheria zilizo na upendeleo na si tu penetration iwepo inasema even slightly touch ya uke ni kubaka. Ndo sheria hyo. Hivyo uume ukigusa uke kwa juu bila hidhini ni kubaka.