Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Siyo rahisi kumshitaki Ray kwa kosa la kubaka as you think. Rape ina ingridients 2. Penetration na lack of consent....wewe unajuaje kama walifanya ngono? Kama walifanya ni muda umepita tangu wafanye hadi kupostiwa kwa videos hizo. Hiyo evidence ya penetration haipo now, maana lazima kuwe na ushahidi kuwa muhusika aliingiliwa bila ridha yake..
Sheria si ujanja janja. Wala sheria si ushabiki. Wala sheria haitafusriwi kwa mtu anavyodhani au kukwepakwepa.

Mpe moyo Rayvan lakini kama kweli serikali ikiamua kulivalia njuga Ray ataumia. Naomba ufatilie kesi nyingi za ubakaji. Ndo utajua. Hizi sheria zilitungwa ili kuwalinda wanawake.

Ni sheria zilizo na upendeleo na si tu penetration iwepo inasema even slightly touch ya uke ni kubaka. Ndo sheria hyo. Hivyo uume ukigusa uke kwa juu bila hidhini ni kubaka.
 
Nadhani ujanielewa. kosa la kubaka halina umri. Alinyweshwa pombe. Mie nipo huku huku Ulaya. Sheria za ubakaji ni za kimataifa hata huku Ulaya ubakaji hauna umri...
Sijajua upo kweli US au ndio Da Mange Kasema haya ,hawa hapa niambie wapo gereza gani huko US.

Hii video binti ana 18 babu ana 68 US huko.

Sasa mama yake mzazi ndiye aliyepost hiyo picha Instagram wakati akitimiza miaka 16 july 2018,ina maana alikuwa anadanganya?

Kosa la kubaka mpaka sasa halijawa confirmed,sababu moja ile picha sijajua ili rekodiwa na nani,sababu binti ndiye aliyekuwa akiikodelea na kwenye gari inasemekan alikuwa na rafiki yake.

Alafu kama mzazi aliyekuwa makini, sensitive kwa mwanae kwa nini asinge react kipindi kile kile alichogundua mwanawe kapewa pombe na kubakwa? Ina maana alikuwa anasubiri video ivuje ndio aende mahakamani kudai mwanae kabakwa? Haimake sense.Manake kama angeenda siku hiyo hiyo aliyegundua mwanae kaleweshwa na kubakwa angewasaidia wataalam wa forensic kupata ushahidi wa uhakika.Manake hapo kesi itaendeshwa kwa kielelezo cha hiyo video.

Mimi nikiingalia ile video,sizani kama yule binti alilewa ,ila alikuwa ana rekodi yeye mwenyewe (kwa msaada wa rafiki yake) kwenda kuwaringishia wenzake,sababu hata macho ukimtizama ni makavu.

Ila mpaka sasa sijui nani kavujisha,Inawezekana akawa Rayvany au rafiki yake Paula aliyekuwa nae kwenye gari.
 
Mdau ni kweli hujui ile video ni nani kavujisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....
Mtuhumiwa ndio kaivujisha huko insta
 
Sijajua upo kweli US au ndio Da Mange Kasema haya ,hawa hapa niambie wapo gereza gani huko US.

Hii video binti ana 18 babu ana 68 US huko...
Kifupi mahakama itachoangalia kwenye umri wa mtoto ni cheti cha kuzaliwa si hadithi za insta au you tube. Nakupa mfano kuna miss hapa Tanzania ilionekana kafoji umri. Hii ilikuwa baada ya kuvujishwa kwa driving licence yake. Wakasema alidanganya kwenye mashindano akadai anaumri mdogo zaidi ya alokuwa nao. Kama utakumbuka.

Wakati watanzania wakija juu. Yule dada walivyofanya wanajua. Akaja na cheti cha kuzaliwa kikionesha anaumri mdogo zaidi ya ule wa driving licence. Ambao aliutaja ktk mashindano na ilikuwa imerekodiwa.

Nakumbuka hadi RITA wakalitolea maamuzi kuwa wanachotambua ni umri wa kuzaliwa ulooneshwa katika cheti si driving licence.
So swala la birthday au mama kutamka alithibitishi umri wa mtoto. Kitachothibitisha ni cheti cha kuzaliwa. Nakupa mfano mwingine.

Watanzania wengi hawana vyeti vya kuzaliwa. Wanasubiri pale wanapokwenda kidato cha sita au kwa ujumla sekondari ndo wanaomba vyeti. Pia sheria ya Vizazi na Vifo chini ya RITA inaruhusu kufanya mabadiliko ya cheti kwenye tarehe au mwaka wa kuzaliwa, au jina kama utathibitisha kulikuwa na makosa yalofanyika. na utapewa cheti kingine sawa na utakavyo. Hii ufanya watu wabadili miaka yao ya kuzaliwa kwa watakachowasirisha RITA. Kama ilivyotokea kwa Miss Tanzania. So cheti cha kuzaliwa cha Paula ndo kitatoa utata. Si birthday ya maneno.

Kumbuka hii ni mahakama. na Cheti kinatambulika kisheria si hadithi za insta au youtube. Leo uwe na driving licence au kitambulisho cha kupigia kula kikionesha una umri kadhaa na ukawa na cheti cha kuzaliwa kinaumri mwingine.

Kitachofuatwa ni umri wa katika cheti cha kuzaliwa na si vinginevyo. Hapa hatushindani ila tunafuata sheria zilivyo. Na bahati nzuri nilibahatisha kuwa na kauzoefu kadogo nikiwa mfagiaji RITA na nilihudumu kama mfagiaji huko mahakamani.

Hii ilinipa mwanga walau kujifunza. Na leo haijalishi nipo Ulaya au Marekani nilipata tu kibahati cha kuja huku kusafisha wazee. Bado naendelea kujifunza ya dunia.
 
Mkuu kwahiyo wazazi waiachie jamhuri ideal na kijana?
Naam, wazazi wake waripoti tu polisi baada ya hapo waziachie mamlaka...

Unajua hivi vizazi vya sasa vya mitandaoni mkuu vimejaa upumbavu upumbavu tu...

Unaweza ukakuta hao vijana walikuwa wanafanya shooting ya nyimbo zao, na hizo clips wanarusha tu kuteka akili za washabikia upumbavu...

What if all that you see imekuwa staged? Yaani kuanzia 'mapenzi' ya Kajala na yule Mmakonde, then script inahamia kwa huyo binti na huyo Mnyakyusa then itaenda mahali pengine n.k n.k....
 
Ipo hivyo ila hiyo post yako yenye picha imekata mzizi wa fitina kesi hamna hapo.

Cha msingi Kajala aya tathimini maisha yake na abadilike mambo yake ya mahusiano ayafanye mbali na mtoto wake.Mwenzake Monalisa kazalishwa na wanaume watatu tofauti lkn hajawahi kupost mambo ya kipuuzi kama afanyavyo yy.

Pili afute acc zote za social networks,amnyanganye simu na amuweke mbali na bongo movies wenzie na amweke mbali na mitandao ya jamii.

Amtafutie shule ambayo hawaruhusu kutumia simu na yenye sheria kali upande wa malezi na maadili,mpaka akimaliza form 6.

Hapo ndipo atamsidia mwanae hajachelewa bado.

Ila pamoja na jamaa wanamuona mtu wa bangi,ila haya yanayo tokea leo alisha ya ongea na aliyaona.

Hahahah Kajala yupi huyo wa kufanya mambo hayo?

Wakati Kajala mwenyewe kaanza kuruka ruka na wakulungwa tokea kanasoma pale Mbuyuni Primary...
 
Naam, wazazi wake waripoti tu polisi baada ya hapo waziachie mamlaka...

Unajua hivi vizazi vya sasa vya mitandaoni mkuu vimejaa upumbavu upumbavu tu...

Unaweza ukakuta hao vijana walikuwa wanafanya shooting ya nyimbo zao, na hizo clips wanarusha tu kuteka akili za washabikia upumbavu...

What if all that you see imekuwa staged? Yaani kuanzia 'mapenzi' ya Kajala na yule Mmakonde, then script inahamia kwa huyo binti na huyo Mnyakyusa then itaenda mahali pengine n.k n.k....
Kwa nionavyo ufanyike tu usuluhishi. Yaishe. Sheria ina ruhusu. Mwenye kutoa ushahidi kamili ni Paula kama kweli walikuwa wanarekodi nyimbo. Sisi hatujui. Limezua taharuki kwa jamii. Naamini yatapita wataelewana. kikubwa wote tayari wamejifunza jambo. Kila mtu kwa nafasi yake.
 
Naam, wazazi wake waripoti tu polisi baada ya hapo waziachie mamlaka...

Unajua hivi vizazi vya sasa vya mitandaoni mkuu vimejaa upumbavu upumbavu tu...

Unaweza ukakuta hao vijana walikuwa wanafanya shooting ya nyimbo zao, na hizo clips wanarusha tu kuteka akili za washabikia upumbavu...

What if all that you see imekuwa staged? Yaani kuanzia 'mapenzi' ya Kajala na yule Mmakonde, then script inahamia kwa huyo binti na huyo Mnyakyusa then itaenda mahali pengine n.k n.k....
Inanikumbusha nikiwa mfagizi ktk mahakama fulani. Ikaja kesi ya kubaka. Ubakaji ulikuwa umefanyika kama mwaka umepita. Ilikuwa ni mwalimu na mwanafunzi wake. Nilipomwangalia mwalimu yuko kwenye hamsini naaa. Binti alikuwa 18 wakati anabakwa.

Binti anamtoto. Nikamuita pembeni kuongea nae hali ya maisha ya nyumbani kwao. Nikaona tuongee kirafiki tu anipe mkasa. Umbeya wangu nikaongea na yule mwalimu. Nikapata sababu kwanini kubaka. Mmmmh! Nikamuuliza binti hivi huyu mwalimu akifungwa nini faida? Mtoto atalelewa na nani?

Nikamuuliza Mwalimu pia hivi unapomtesa huyu binti na kumuonesha jeuri hujui kashikilia maisha yako? Je hiyo miaka 30 ukifungwa utatoka kibabu au kufia jela. Na familia yako je? Nikamwambia ningekuwa mimi ningejipendekeza kwao na binti na kumpa upendo wote ili asitoe ushahidi utaofanya nifungwe. Mpe upendo binti.

Na umbea wangu nikawaacha nikaenda zangu kufagia. Hukumu; yule mwalimu akaachiwa huru. Mwalimu akawa na nyumba ndogo. Akamjengea binti nyumba. Hizi kesi za uanafunzi na kubaka mmmh!
Naam, wazazi wake waripoti tu polisi baada ya hapo waziachie mamlaka...

Unajua hivi vizazi vya sasa vya mitandaoni mkuu vimejaa upumbavu upumbavu tu...

Unaweza ukakuta hao vijana walikuwa wanafanya shooting ya nyimbo zao, na hizo clips wanarusha tu kuteka akili za washabikia upumbavu...

What if all that you see imekuwa staged? Yaani kuanzia 'mapenzi' ya Kajala na yule Mmakonde, then script inahamia kwa huyo binti na huyo Mnyakyusa then itaenda mahali pengine n.k n.k....
 
Inanikumbusha nikiwa mfagizi ktk mahakama fulani. Ikaja kesi ya kubaka. Ubakaji ulikuwa umefanyika kama mwaka umepita. Ilikuwa ni mwalimu na mwanafunzi wake. Nilipomwangalia mwalimu yuko kwenye hamsini naaa. Binti alikuwa 18 wakati anabakwa. Binti anamtoto. Nikamuita pembeni kuongea nae hali ya maisha ya nyumbani kwao. Nikaona tuongee kirafiki tu anipe mkasa. Umbeya wangu nikaongea na yule mwalimu. Nikapata sababu kwanini kubaka. Mmmmh! Nikamuuliza binti hivi huyu mwalimu akifungwa nini faida? Mtoto atalelewa na nani? Nikamuuliza Mwalimu pia hivi unapomtesa huyu binti na kumuonesha jeuri hujui kashikilia maisha yako? Je hiyo miaka 30 ukifungwa utatoka kibabu au kufia jela. Na familia yako je? Nikamwambia ningekuwa mimi ningejipendekeza kwao na binti na kumpa upendo wote ili asitoe ushahidi utaofanya nifungwe. Mpe upendo binti. Na umbea wangu nikawaacha nikaenda zangu kufagia. Hukumu; yule mwalimu akaachiwa huru. Mwalimu akawa na nyumba ndogo. Akamjengea binti nyumba. Hizi kesi za uanafunzi na kubaka mmmh!
Hii ni wisdom kamili kabisa mkuu ulitumia. Mambo ya mapenzi ku handle inahitaji hekima kuliko mihemuko. Hili swala lao hawa watu wamelifanya kimehumuko sana, kiasi kwamba sio tu wanatafuta suluhu, lakini pia linaacha uchafu
 
Yaan wanawake wa JF mnamuonea wivu Paula Kwa sababu nyie hamna chura
Sababu ni kuwa tunazaa. tuna watoto wa kike. Unashika tumbo la uzazi na kumuomba Mungu akuepushie haya.

Chura? huyo Paula ni mtoto sana kwangu. Tuheshimiane kidogo
 
Private candidate huwa wanasoma wengine wameolewa , mfumo rasmi wa shule hauruhusu hayo mambo , Paula yupo out of school , na Hana mpango wa kwenda form five ndo mana mpak sasa anakula bata na mtu mbadi, umri soon anagonga 19 kama sio 20, tumekarbia kusambaza Kadi za Harusi ya Paula na Vannyboy .....
 
Kifupi mahakama itachoangalia kwenye umri wa mtoto ni cheti cha kuzaliwa si hadithi za insta au you tube. Nakupa mfano kuna miss hapa Tanzania ilionekana kafoji umri. Hii ilikuwa baada ya kuvujishwa kwa driving licence yake. Wakasema alidanganya kwenye mashindano akadai anaumri mdogo zaidi ya alokuwa nao. Kama utakumbuka.

Wakati watanzania wakija juu. Yule dada walivyofanya wanajua. Akaja na cheti cha kuzaliwa kikionesha anaumri mdogo zaidi ya ule wa driving licence. Ambao aliutaja ktk mashindano na ilikuwa imerekodiwa.

Nakumbuka hadi RITA wakalitolea maamuzi kuwa wanachotambua ni umri wa kuzaliwa ulooneshwa katika cheti si driving licence.
So swala la birthday au mama kutamka alithibitishi umri wa mtoto. Kitachothibitisha ni cheti cha kuzaliwa. Nakupa mfano mwingine.

Watanzania wengi hawana vyeti vya kuzaliwa. Wanasubiri pale wanapokwenda kidato cha sita au kwa ujumla sekondari ndo wanaomba vyeti. Pia sheria ya Vizazi na Vifo chini ya RITA inaruhusu kufanya mabadiliko ya cheti kwenye tarehe au mwaka wa kuzaliwa, au jina kama utathibitisha kulikuwa na makosa yalofanyika. na utapewa cheti kingine sawa na utakavyo. Hii ufanya watu wabadili miaka yao ya kuzaliwa kwa watakachowasirisha RITA. Kama ilivyotokea kwa Miss Tanzania. So cheti cha kuzaliwa cha Paula ndo kitatoa utata. Si birthday ya maneno.

Kumbuka hii ni mahakama. na Cheti kinatambulika kisheria si hadithi za insta au youtube. Leo uwe na driving licence au kitambulisho cha kupigia kula kikionesha una umri kadhaa na ukawa na cheti cha kuzaliwa kinaumri mwingine.

Kitachofuatwa ni umri wa katika cheti cha kuzaliwa na si vinginevyo. Hapa hatushindani ila tunafuata sheria zilivyo. Na bahati nzuri nilibahatisha kuwa na kauzoefu kadogo nikiwa mfagiaji RITA na nilihudumu kama mfagiaji huko mahakamani.

Hii ilinipa mwanga walau kujifunza. Na leo haijalishi nipo Ulaya au Marekani nilipata tu kibahati cha kuja huku kusafisha wazee. Bado naendelea kujifunza ya dunia.
Kwa hiyo mama yake alivyo mposti wananae july 2018 katimizia miaka 16 so alikuwa anasema uwongo ?
So kama alikuwa anasema uwongo kwa faida ya nani?
Screenshot_20210216-094040.png

Sawa miss Tanzania kafoji umri,so sizani kama kesi ya kufoji umri ya huyo miss Tz na Paula kama zina fanana ,sababu mpaka sasa bado haija thibitishwa.

Back
Top Bottom