Rayvanny bwana mdogo, Mchumba hasomeshwi, umeshindwaje asome bongo

Rayvanny bwana mdogo, Mchumba hasomeshwi, umeshindwaje asome bongo

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Mdogo wangu Rayvanny , najua hujawahi kusoma chuo kikuu na huelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndo hivyo jua mchumba hasomeshwi, p funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula nje kwasababu amemdharau, hizo pesa utakazokuwa unamtumia watafaidi younger boys than you atawapa yeye.

Kwanini umtolee ada halaf umsomeshe nje, ulitakiwa kumsomesha hapa hapa, ada unalipa na matumizi unampa pia ,anakaa kwako, anatokea kwako unampa Gari, unamcontrol, Sasa wewe mbaya na una sura mbaya Kama Mimi halaf unaenda kumsomesha msichana long distance trade , ataangukia katika mikono ya mahandsome na watatumiaa pesa zako anazokulipa diamond kulipia Bata , utateseka mno.
7
Nafurahi Sasa fahyma ataweza pata amani. Ila kumbuka bongo vyuo vipo vingi, usingeruhusu Paula akasome nje watamtafuna
 
Back
Top Bottom