Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Acha kukaza fuvuHuyo Rayvann ndiyo wakumfananisha na Ngwea?? Hebu acheni dharau basi! Ngwea ni moto wa Petrol na Ranvany ni moto wa mabua! Tafuta track tano za Ngwea, then tafuta track tano za Rayvann uone nani anachana! Huwezi pambanisha mabondi wanaozichapa kwenye weight tofauti! Heavy weight hawezi zichapa na middle weight! Usiku mwema
Hawamatch kivipi...???Huyo vanny wako ni fundi sawa, ila sio kumlinganisha na Cowboy,
Jaman muwage waelewa, hatutaki kuwafananisha wasanii ambao hawa match, yaan mkipewa bundles sijui akili zenu huwa zinahama lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Moja ya reply Bora kabisa , haya ndo maneno sasa , sasa wengine wanakuja na matusi , hana data , Hana hoja ni kutukana tuu...mkuu umejibu vyema sanaWakati Ngwair anaimba muziki wa Tz ulikuwa haujapenetrate sana nje ila japokuwa amerest in Peace mangwair alikuwa na hitsongs nyingi kuliko ray van na kusema ukweli Mangwea was talented kuliko vany boy..
MikasiUna data au ushahidi
Tuliza jauKwenda huko, unadhan kwa hili andiko lako lina badilisha lolote? Ngwair hakuna wa kumfika, mkipewa bundles tyuuh bas mapambio tumechoka lol.
KwetuMikasi
Mademu zangu
Nipeni dili
She got gwang.
Rayvanny hajawahi na hatokuja miliki hitsongs kama hizo
Hizo ni takataka Chui hawezi Hold takataka kama hizoMikasi
Mademu zangu
Nipeni dili
She got gwang.
Rayvanny hajawahi na hatokuja miliki hitsongs kama hizo
Hizi ndio nyimbo nyimbo zinapimika kwa namba na pesa sio munaleta lialia hapaKwetu
Tetema
Hitsong za Ngwear hapo ni mbili Tu ambazo somehow nchi ilisimama ... Nipeni dili masela na mikasi , number one ya vanny boy inamatch hapo ..... In the middle of modern era number one inajitetea yenyeweMikasi
Mademu zangu
Nipeni dili
She got gwang.
Rayvanny hajawahi na hatokuja miliki hitsongs kama hizo
Wakati Ngwair anaimba muziki wa Tz ulikuwa haujapenetrate sana nje ila japokuwa amerest in Peace mangwair alikuwa na hitsongs nyingi kuliko ray van na kusema ukweli Mangwea was talented kuliko vany boy..
Ni kweli mkuu,ila kumfananisha huyo dogo na legendary Ngwair ni kumkosea heshima kabisa mzee wa eastzoo,jamaa alikuwa anajua sana ila sema basi tu daah tusije kukufuru,gone too soonHakunaga WCB fan Kama wewe
Yeah but WCB hatunaga Tabia za kuwapondea wasanii wetu sawa au hautaki nikuunge kwenye group la DIE HARD FANS WA WA WCB.[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli mkuu,ila kumfananisha huyo dogo na legendary Ngwair ni kumkosea heshima kabisa mzee wa eastzoo,jamaa alikuwa anajua sana ila sema basi tu daah tusije kukufuru,gone too soon
Amna kitu apoHuyu ndo msanii bora kwa wanaume ninayemkubali kwa sasa kila siku ngoma kama
[emoji117]Unaibiwa
[emoji117]EX boyfrend
[emoji117]Vumilia
[emoji117]Naogopa
[emoji117]Pochi nene
[emoji117]Number one
[emoji117]Teamo
Nk huwa nasikiza sana
Ngwea asingeweza kuimba ujinga kama huo...kwanza singel hamna kuumiza kichwa wala nn.hata bubu tu anaimba.ngwea ana flow za kinyama sio takataka kama za rayUmemwelewa lakni we totooo, ha ha haaaa anamanisha hvi style aliyokuwa anaimba Ngwear pia vanyboy anaweza kuimba , Ila kuna style za Vannboy Ngwear anachemsha mfano hyo singeli , Vannboy anapita fresh Ila Ngwear lazima aning'inie
Data ndiyo Nini bana unapofananisha punda na farasi tutaishia tu kukudharau hata kukutukana ikibidi, tutakuwa hatuna kazi na huo mda wa kukuelewesha ni jinsi gani farasi ni farasi na punda atabaki kuwa punda tuMoja ya reply Bora kabisa , haya ndo maneno sasa , sasa wengine wanakuja na matusi , hana data , Hana hoja ni kutukana tuu...mkuu umejibu vyema sana
Okey naona mnatokwa povu Sana Vanyboy kufananishwa na Ngwear , bas tupeni data za Ngwear na mafanikio yake ambayo mpak Vannyboy aonekane taka taka mbele yake .... Wabongo tupo vizur Sana kukikuza kilichopita na kutokikubali tulicho nacho ....
Wengi hapa mnacomment kinafk , wengine hata Ngwear hammjui Ila bas tu muonekane mnajua ...haya mwageni data basi Kwenye Nyanja zifuatazo ....
1/Uwezo wa kuimba aina tofaut za kuimba eg Hip hop, RB, rhumba, slow, n.k
2/Kiwango cha kupenya soko la kimataifa
3/ Tuzo alizochukua kitaifa na kimataifa
4/International collaboratin
5/Mauzo ya albam au single
6/Popularity ndani na nje ya nchi
N.K....
Leteni data za Ngwear bas ......
'She got a gwan' inameza zote hizo kwa mkupuo mmojaHuyu ndo msanii bora kwa wanaume ninayemkubali kwa sasa kila siku ngoma kama
[emoji117]Unaibiwa
[emoji117]EX boyfrend
[emoji117]Vumilia
[emoji117]Naogopa
[emoji117]Pochi nene
[emoji117]Number one
[emoji117]Teamo
Nk huwa nasikiza sana
Kuna wimbo unaitwa mama ameimba na Mr. Blue Bayser ni noma sana lile pini jinsi walivyopangilia vile vina na hiyo beat inavyodunda balaa sana, ukisikiliza kwenye mziki mnene unaweza ruka kichaa. Wimbo umesimamia kucha ni kwa kweliHuyu ndo msanii bora kwa wanaume ninayemkubali kwa sasa kila siku ngoma kama
Unaibiwa
EX boyfrend
Vumilia
Naogopa
Pochi nene
Number one
Teamo
Nk huwa nasikiza sana
Hapana kwenye ukweli kama huu lazima ukweli usemwe,ila wangekuja wale wazushi wasiomtakia Mondi mema,wenye wivu na mafanikio yake hapa ndio ningeuwasha moto kumtetea kama mdogo wangu wa tumbo moja vileYeah but WCB hatunaga Tabia za kuwapondea wasanii wetu sawa au hautaki nikuunge kwenye group la DIE HARD FANS WA WA WCB.[emoji23][emoji23][emoji23]