RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

Akili hizi umerithi kwa Bashite au Juma Lukole?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bodi ya ligi haipo serious kabisa. hivi kiukweli kabisa yanga wanaweza ingiza mashabiki wengi kuliko simba. huwa nawaza kucheka. ilimradi tu wawape yanga furah
 
Mbona twakwimu za mitandao ya kijamii zipo? Angalia tu followers Yanga wameachwa mbali
Huyu RC ndo maana polisi walitaka kumchapa njugu,mweupe kiutendaji mpaka kichwani huwa anabebwa tu serikalini lakini uwezo hana.
 
Huyu RC ndo maana polisi walitaka kumchapa njugu,mweupe kiutendaji mpaka kichwani huwa anabebwa tu serikalini lakini uwezo hana.
Njagu wewe ndiyo maana mshabiki wa Simba.
hakuna mpenzi wa mpira wa bongo asiekubali Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba. Hiyo inajulikana mitaani wala hamna haja ya takwimu za kampuni yeyote.
Kwa Dar es salaam na Pwani ndiyo kabisa! Yanga inaongoza kwa mashabiki wengi. Kwa mikoani huko kunaweza kukawa na ushindani pia kwa askari polisi, Magereza na JWTZ wengi ni wapenzi wa Simba na mgambo wengi ni Yanga.
 
Sawa,na Simba ni bora kuliko Yanga nalo hili halina ubishi ni mwendawazimu tu kama Haji Manara anayeweza kubisha.
 
Kila Mtanzania mpenda soka analijua hili.

.................Halina ubishi.
hata mimi naona hili halina ubishi, yaani namba ya mashabiki wa yanga kuwa kubwa kuliko ya washabiki wa simba. sasa ni nini tija ya kuwa na mashabiki wengi au wachache na uhusiano wake na performance ya timu.
 
Halina ubishi atakaye bisha ni mbumbumbu wa kutupwa
hata mimi naona hili halina ubishi, yaani namba ya mashabiki wa yanga kuwa kubwa kuliko ya washabiki wa simba. sasa ni nini tija ya kuwa na mashabiki wengi au wachache na uhusiano wake na performance ya timu.
 
Adam amesema ukweli, na hili halina ubishi kabisaa
hata mimi naona hili halina ubishi, yaani namba ya mashabiki wa yanga kuwa kubwa kuliko ya washabiki wa simba. sasa ni nini tija ya kuwa na mashabiki wengi au wachache na uhusiano wake na performance ya timu.
 
Huo ni ukweli dhahiri, licha ya kuwa na msimu mbovu yanga wameongoza kuingia uwanjani kuitazama timu yao ( mbumbumbu atasema haihusiani ivi kwa Tabia zetu watanzania unaweza enda kumuona mpinzani wako)
hata mimi naona hili halina ubishi, yaani namba ya mashabiki wa yanga kuwa kubwa kuliko ya washabiki wa simba. sasa ni nini tija ya kuwa na mashabiki wengi au wachache na uhusiano wake na performance ya timu.
 
Kwani Makonda alipokuwa Dar ilikuwaje? Niliwahi kusikia aliwahi kuahidi sh. Milioni 20 kwa KMC ikiifunga Yanga...au ilikuwa uongo?! Vipi PM na Namungo?

Tumia akili
Makonda timu zote za Dar..
Sasa RC wa Tanga anatetea timu ya Dar ni akili?
 
Insta, fb, twitter hizo app hata hulipii kuifollow hiyo simba ni kubofya tu unaifollow.

Ila uwanjan unalipa kiingilio na sio hivo tu ni lazma kwanza ujue kuna mechi na unajuaje kama sio mpenzi wa timu yako.
Kubali kataa yanga ina mashabiki wengi mkuu. Yani wewe unatumia mitandao ya kijamii kupima.
Sasa kwanini hao ambao sio wapenzi wa mpira wanaingia kwa yanga tu na sio kwa simba??
Kubali kua yanga imewapiku kwenye hilo mkuu, takwimu zilizotolewa na tff zinathibitisha hilo.
 
Mbu3 amka,wakati Yanga inafanya kwa miaka 5,kolokwinyo hali ya viwanjani kwa mashabiki wao ilikua mbaya hadi kuna kipindi mzee pope aliomba sana washabiki waende uwanjani kuipa sapoti timu yao,hii miaka 3 Yanga iko katika hali mbaya lakini hata mikoani utaona timu mapokezi inayoyapata kutoka kwa mashabiki
 
Tumia akili
Makonda timu zote za Dar..
Sasa RC wa Tanga anatetea timu ya Dar ni akili?
Huyo labda hujamuelewa,kuna malalamiko kutoka kwa wapenzi wa simba baada ya ali hapi mkuu wa mkoa wa mara kuhaidi m 10 kwa biashara iwapo ingeifunga simba na baadae mbunge wa dodoma mjini mavunde aliihaidi dom jiji m 10 iwapo wataifunga simba,watu wa simba wameibuka na kuiomba serikali iingilie kati kwani wanadai wanahujumiwa while bashite kishafanya sana hivyo huko nyuma ilifikia hadi kukaa kwenye benchi la ufundi la simba yote watu wa simba wamesahau

Kolokwinyo hawawezi kukuelewa mkuu,kitu kizuri akili zimewarudia na kufahamu how Yanga big is,malalamiko yameanza mapemaaa,msimu huu watalalamika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…