RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

Kwakuwa hakuna takwimu rasmi kwamba Nani ana mashabiki wengi Tanzania basi tuangalia takwimu za mitandao ya kijamii Nani anaongoza kuwa na followers wengi maana technology hasa Mambo ya digital hayadanganyi ,maana fb followers wa Simba ni Mara mbili ya Yanga ,Instagram followers wa Simba ni Mara 3 ya Yanga ,na Twitter followers wa Simba ni zaidi ya Mara 4 wa Yanga.
Akili hizi umerithi kwa Bashite au Juma Lukole?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bodi ya ligi haipo serious kabisa. hivi kiukweli kabisa yanga wanaweza ingiza mashabiki wengi kuliko simba. huwa nawaza kucheka. ilimradi tu wawape yanga furah
 
Mbona twakwimu za mitandao ya kijamii zipo? Angalia tu followers Yanga wameachwa mbali
Huyu RC ndo maana polisi walitaka kumchapa njugu,mweupe kiutendaji mpaka kichwani huwa anabebwa tu serikalini lakini uwezo hana.
 
Huyu RC ndo maana polisi walitaka kumchapa njugu,mweupe kiutendaji mpaka kichwani huwa anabebwa tu serikalini lakini uwezo hana.
Njagu wewe ndiyo maana mshabiki wa Simba.
hakuna mpenzi wa mpira wa bongo asiekubali Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba. Hiyo inajulikana mitaani wala hamna haja ya takwimu za kampuni yeyote.
Kwa Dar es salaam na Pwani ndiyo kabisa! Yanga inaongoza kwa mashabiki wengi. Kwa mikoani huko kunaweza kukawa na ushindani pia kwa askari polisi, Magereza na JWTZ wengi ni wapenzi wa Simba na mgambo wengi ni Yanga.
 
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini.

RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba"

Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze kujiridhisha kama kweli.

Kwa mtazamo wako RC Malima anaweza akawa timu gani kati ya hizo mbili kongwe?

View attachment 1962815
Sawa,na Simba ni bora kuliko Yanga nalo hili halina ubishi ni mwendawazimu tu kama Haji Manara anayeweza kubisha.
 
Kila Mtanzania mpenda soka analijua hili.

.................Halina ubishi.
hata mimi naona hili halina ubishi, yaani namba ya mashabiki wa yanga kuwa kubwa kuliko ya washabiki wa simba. sasa ni nini tija ya kuwa na mashabiki wengi au wachache na uhusiano wake na performance ya timu.
 
Halina ubishi atakaye bisha ni mbumbumbu wa kutupwa
hata mimi naona hili halina ubishi, yaani namba ya mashabiki wa yanga kuwa kubwa kuliko ya washabiki wa simba. sasa ni nini tija ya kuwa na mashabiki wengi au wachache na uhusiano wake na performance ya timu.
 
Adam amesema ukweli, na hili halina ubishi kabisaa
hata mimi naona hili halina ubishi, yaani namba ya mashabiki wa yanga kuwa kubwa kuliko ya washabiki wa simba. sasa ni nini tija ya kuwa na mashabiki wengi au wachache na uhusiano wake na performance ya timu.
 
Huo ni ukweli dhahiri, licha ya kuwa na msimu mbovu yanga wameongoza kuingia uwanjani kuitazama timu yao ( mbumbumbu atasema haihusiani ivi kwa Tabia zetu watanzania unaweza enda kumuona mpinzani wako)
hata mimi naona hili halina ubishi, yaani namba ya mashabiki wa yanga kuwa kubwa kuliko ya washabiki wa simba. sasa ni nini tija ya kuwa na mashabiki wengi au wachache na uhusiano wake na performance ya timu.
 
Hapo angemalizia kabisa. Simbwa ina mashabiki wengi vichaa
Kama hawa 👇👇👇👇👇

6F3C9835-4CE3-4E81-8E15-118A13E51946.jpeg
 
Kwani Makonda alipokuwa Dar ilikuwaje? Niliwahi kusikia aliwahi kuahidi sh. Milioni 20 kwa KMC ikiifunga Yanga...au ilikuwa uongo?! Vipi PM na Namungo?

Tumia akili
Makonda timu zote za Dar..
Sasa RC wa Tanga anatetea timu ya Dar ni akili?
 
We ndiyo mbumbumbu PhD unaongea na kutoa majibu sahihi kabisa. Kwamba wanaoenda uwanjani wengine Wala hawana ushabiki na simba Wala yanga Bali burudani tu.

Toeni na ushahidi wa hizi takwimu basi.

Insta, fb, twita Simba Ina mashabiki milioni 2 ,yanga laki 9.

Utopolo kila jambo ni kujifariji.
Insta, fb, twitter hizo app hata hulipii kuifollow hiyo simba ni kubofya tu unaifollow.

Ila uwanjan unalipa kiingilio na sio hivo tu ni lazma kwanza ujue kuna mechi na unajuaje kama sio mpenzi wa timu yako.
Kubali kataa yanga ina mashabiki wengi mkuu. Yani wewe unatumia mitandao ya kijamii kupima.
Sasa kwanini hao ambao sio wapenzi wa mpira wanaingia kwa yanga tu na sio kwa simba??
Kubali kua yanga imewapiku kwenye hilo mkuu, takwimu zilizotolewa na tff zinathibitisha hilo.
 
We ndiyo mbumbumbu PhD unaongea na kutoa majibu sahihi kabisa. Kwamba wanaoenda uwanjani wengine Wala hawana ushabiki na simba Wala yanga Bali burudani tu.

Toeni na ushahidi wa hizi takwimu basi.

Insta, fb, twita Simba Ina mashabiki milioni 2 ,yanga laki 9.

Utopolo kila jambo ni kujifariji.
Mbu3 amka,wakati Yanga inafanya kwa miaka 5,kolokwinyo hali ya viwanjani kwa mashabiki wao ilikua mbaya hadi kuna kipindi mzee pope aliomba sana washabiki waende uwanjani kuipa sapoti timu yao,hii miaka 3 Yanga iko katika hali mbaya lakini hata mikoani utaona timu mapokezi inayoyapata kutoka kwa mashabiki
 
Tumia akili
Makonda timu zote za Dar..
Sasa RC wa Tanga anatetea timu ya Dar ni akili?
Huyo labda hujamuelewa,kuna malalamiko kutoka kwa wapenzi wa simba baada ya ali hapi mkuu wa mkoa wa mara kuhaidi m 10 kwa biashara iwapo ingeifunga simba na baadae mbunge wa dodoma mjini mavunde aliihaidi dom jiji m 10 iwapo wataifunga simba,watu wa simba wameibuka na kuiomba serikali iingilie kati kwani wanadai wanahujumiwa while bashite kishafanya sana hivyo huko nyuma ilifikia hadi kukaa kwenye benchi la ufundi la simba yote watu wa simba wamesahau

Screenshot_20211002-175333_Chrome.jpg
 
Tulia wewe dogo..taratibu wewe...kwani aliyeahidi milioni 10 ametamka kuwa wawavunje miguu wachezaji wa Simba?! Hivi hukuona ile kungfu ya Kennedy Juma alivyomrukia mchezaji wa Biashara? I'll ilikuwa ni straight red card...lakini alipopigwa kiwiko huyo Kennedy Juma ndiyo red ikatoka...au hukuona msimu uliopita namna John Bocco alivyotaka kumvunja mguu Mukoko? Umesahau ya Chama alipomkanyaga Fee Toto kutaka kumvunja mguu? Na vipi kuhusu Wawa alipotaka kumvunja mguu Ditram? Wachezaji wote hao wa Simba hawakupata red Wala njano kwa kungfu hizo...acheni kulialia nyie...
Kolokwinyo hawawezi kukuelewa mkuu,kitu kizuri akili zimewarudia na kufahamu how Yanga big is,malalamiko yameanza mapemaaa,msimu huu watalalamika sana
 
Back
Top Bottom