Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Lete hapa hizo takwimu za hiyo misimu kutoka verified sources.Ukitoa msimu uliopita Je unajua takwimu za misimu mingine Simba alikuwa akiongoza??Kwa hiyo Yanga kampita Simba mashabiki Mwaka uliopita si ndio??
Sent using Jamii Forums mobile app