RC Amos Makalla amaliza mgogoro wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni

Safi Makalla. Hivi Songoro ni mtu wa wapi? huyu mama niliambiwa ni mpare.
 
Hakuna kitu hapo muda si mrefu mtasikia kusigana tena, huwezi kumaliza mgogoro kwa kuufanya haupo
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza Kati ya meya manispaa ya kinondoni Ndg Songoro Mnyonge na mkurugenzi wa manispaa Spora Liana.

Utatuzi wa mgogoro huo umefanyika leo katika kikao Cha pamoja kilichoitishwa leo na mkuu wa mkoa na kuwakutanisha meya na mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni.

Mkuu wa mkoa amewataka viongozi hao kurejea ofisini na kufanya kazi kwa pamoja, kutekeleza miradi ya maendeleo na kutatua kero za wananchi.

Kwa upande wa Meya na mkurugenzi wamemaliza tofauti zao na wamehaidi kufanya kazi kwa pamoja kwa maslahi mapana ya wananchi.

View attachment 1792517View attachment 1792518View attachment 1792519
View attachment 1792521
Hivi hawa viongozi hawaoni aibu, wanaweka sintofahamu zao mbele na kuacha kututumikia wananchi, walitakiwa wale viboko
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza Kati ya meya manispaa ya kinondoni Ndg Songoro Mnyonge na mkurugenzi wa manispaa Spora Liana.

Utatuzi wa mgogoro huo umefanyika leo katika kikao Cha pamoja kilichoitishwa leo na mkuu wa mkoa na kuwakutanisha meya na mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni.

Mkuu wa mkoa amewataka viongozi hao kurejea ofisini na kufanya kazi kwa pamoja, kutekeleza miradi ya maendeleo na kutatua kero za wananchi.

Kwa upande wa Meya na mkurugenzi wamemaliza tofauti zao na wamehaidi kufanya kazi kwa pamoja kwa maslahi mapana ya wananchi.

View attachment 1792517View attachment 1792518View attachment 1792519
View attachment 1792521
wahuni wote hao
 
Back
Top Bottom