RC Amos Makalla amaliza mgogoro wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni

RC Amos Makalla amaliza mgogoro wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni

Safi sana MH. sasa ni vema ukatembelea miradi mikubwa ya ujenzi inayoendelea Dar es salaam hasa mradi mwa mwendokasi kuelekea mbagala pia kituo cha gerezani magari yameegeshwa una kuta yanahitaji marekebisho kidogo tu lakini mpaka yamechakaa hao wahusika wanasubili wewe ukaseme wayatengeneza yatoe huduma.
 
Chanzo kiwe wazi kwa madiwani.
Hajatibu kitu,bado minong'ono IPO kwa wananchi.
Kumbuka neno MAAZIMIO YENU YA JANA,alisema SPORA!
 
Wengine hatujui hata kama wana ugomvi, angesuluhisha kimya bila mapicha angepungukiwa nini? Viongozi wetu wamekuwa kama kina diamond sasa..
Anataka aonekane kafanya kazi ili iweje!!?[emoji848]
 
CCM kwa unafiki bana !! waelewane wapi kila mmoja tumboni kabaki nalo.
 
Hiiiiiii bha ngoshaaaaaa

Mwaisaa ndio kukumbatiana kivipi vipi mbona Kama tunapandishana maruhani mustahiki meya?
😜😜😜😜😜😜
 
Nje ya mada.... natamani kujua safari ya mwisho ya mkono wa kulia wa Msahiki Meya 🤣
Kaka, nilitaka kuandika hivyo hivyo but b4 sijaandika nikataka niwasome wenzangu; back to the topic; Hi ndio tofauti ya kiongozi na mtawala. Nasikiaga Makala ni type ya viongozi watoto wa mjini sana.
 
Ukweli ni kuwa upigaji wa madiwani umezidi kule... hakuna cha kupatanisha sheria zifuatwe..
 
Hahahaha songoro alivyokombatia

Lakini yote heri

Ova
 
Kupatana peke yake haitoshi, maana Mkurugenzi alikuwa anahoji uhalali wa risiti kuonyesha zimepunguzwa digit moja kulingana na fedha waliyokuwa wanatozwa wananchi. Mfano, mwananchi aliyetozwa sh. 2,000/= alipewa risiti iliyoandikwa sh. 200/=, wa 3,000/= akapewa risiti iliyoandikwa 300/=. Mkurugenzi akawashutumu madiwani wote (wa CCM Kinondoni), lakini hapa anapatanishwa na Meya tu. Hivi tuhuma za wizi zinaweza kumalizika kwa kupatanishwa?
 
Back
Top Bottom