RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

Umeharibu Kila kitu hapa!
Unamlinganisha vipi Sokoine na huyo bashite wako mlanguzi wa vyeti?

Makonda alikuwa msanii na jambazi tu...hakuna kiongozi hapo!
niasamehe tu mkuu ila mleta mada kaniudhi sana! juzijuizi wamelia weeee!! makonda makonda na sasa makalaaa.... makala!!! mwishowe itakuwa makalai...... acha wapigwe tu hawa mbuzi wakafala hawana jipya .......wala huruma!...

ole wenu nishike dola Mtanijua.......ila Magufuri alitaka leta ule uongozi wa secondary za serikali miaka hiyoooo ya Nyuma maarufu km ''INDUNAZ'' kwenye kitabu cha Mine boys / Abraham !!

wale viranja ndo walikuwa wana ongoza km style ya Magufuri! kabisaaa!! waliosoma Nyakato, Ihungo. Rugambwa wana elewa ule muziki! na jiwe kasoma huko huko!...ccm Safari nyingine tusiweke watu waliosoma shule za serikali!
 
Watoto wavijijini na washamba hawawezi kuelewa... ndo maana wamekuja na mapovu na ndo maana wanalizwa mjini kizembe akiwemo mjomba wao wa chato.
Mbona wewe kuna mizoga ya ndugu zako ilishaoza kaburini na unaendelea kuteseka hapa duniani wakati ndugu wa Mwendazake wanakula maisha tu lakini wewe unaendelea kuteseka tu na cheti chako feki...!!!
 
Back
Top Bottom