RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

Huyu kama atakuwa ameacha kuvuta, basi itakuwa siku za karibuni na alikuwa anapata ile special kutoka Arusha. Pia atakuwa alikuwa anavutia chooni (choo cha shimo) na kupulizia humo shimoni.

Mara nyingi waliovuta kwa stahili hiyo ndio huongea hivi, hata angepewa u-PM busara ingekwamia hapo.
 


Akiongea na wananchi wa Mbalizi mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Albert Chalamila amesema mkoani kwake wanatwanga bia kitambo hawasubiri party ya Jumapili kama Dar.

Amedai kuna wakati alifungia bar kwa siku moja na kesho yake akaruhusu watu watwange bia hadi saa 7 za usiku.

Amemalizia kwa kusema Mbeya ni jiji la wajanja hata yeye ukimzingua anapaki gari pembeni mnazichapa kavu kavu ukimdunda poa tu

Maendeleo hayana vyama
Watu wenye vichwa modeli ile wana akili finyu sana
 
Kuna haja ya kufanya mental health screening kwa viongozi wa nyadhifa zote!
 
Back
Top Bottom