Pre GE2025 RC Chalamila: Kama una miaka 40 na hauna pesa usimlaumu Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia.

Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu iliyopita.Umri huu zaidi ya miaka 40 hela sina nilizaliwa wakati wa Nyerere, akaja Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli pamoja na Samia huna pesa ninashangazwa”.

Chalamila amesema hayo leo Mei 28 ,2024 akiwa katika ziara ya Jimbo la Ukonga kukagua miradi mbalimbali na kusikiliza kero za wananchi wa jimbo hilo.
 
Duh !
 
View attachment 3002138

Kweli Mkuu naunga mkono hoja, yaani miaka 40 yote hujapata unamlaumu Samia? 😁😁😁😁😁
 
View attachment 3002138

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia.

Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu iliyopita.Umri huu zaidi ya miaka 40 hela sina nilizaliwa wakati wa Nyerere, akaja Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli pamoja na Samia huna pesa ninashangazwa”.

Chalamila amesema hayo leo Mei 28 ,2024 akiwa katika ziara ya Jimbo la Ukonga kukagua miradi mbalimbali na kusikiliza kero za wananchi wa jimbo hilo.
So stupid kwa RC kama yeye uchawa na ujinga plus madaraka ndo vinampa kiburi.
 
Wakishatoka kwenye hizo nafasi huwa wanatia huruma sana.

Kwa akili yake atakua RC milele.
Mkuu we acha tu hi dunia ina mambo ya ajabu sana kuna huyu wa chuga huko aisee katika page yake huko Instagram alikua anapost tu mambo ya kuabudu abudu mara anaombewa, mara yupo na askofu mpka nikawaza mwamba anataka kuwa muhubiri sahizi kapata aisee ni balaa, na kuna huyu yeye kakaa huko kisongo siku anakamatwa analia lia tu ila hamna noma sisi tupo tunawaona tu waheshimiwa.
 
View attachment 3002138

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia.

Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu iliyopita.Umri huu zaidi ya miaka 40 hela sina nilizaliwa wakati wa Nyerere, akaja Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli pamoja na Samia huna pesa ninashangazwa”.

Chalamila amesema hayo leo Mei 28 ,2024 akiwa katika ziara ya Jimbo la Ukonga kukagua miradi mbalimbali na kusikiliza kero za wananchi wa jimbo hilo.
Huyu bwege akishavuta bangi zake anajiona star sana.
 
Back
Top Bottom