Pre GE2025 RC Chalamila: Kama una miaka 40 na hauna pesa usimlaumu Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨ Hao hawana tofauti na wale walioajifiwa mwaka Juu harafu Wanalalamikia Kikokotoo 😁😁😁
Tanzania hakunaga Ajira kuna Vibarua

DP World kasema mshahara alioukuta TPA lazima wafanyakazi wawe Wezi maana Utumishi bila savings ni Utumwa

Kwa mara ya kwanza niliwaelewa Waarabu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unawalaumu Kwa kipi?
Kama hawakukusomesha au hawakujituma kutafuta mali ilihali sio wenye ulemavu wowote. Au hawakukutengenezea connection.

Ushauri: ikiwa wewe ni mzazi/mlezi, jitahidi sana kuwatengenezea watoto wako maisha ya kutolalamikia serikali hapo baadae
 
Mimi Huwa napenda sana maneno yanayonichoma kama haya hata kama ni kweli Sina.

Bill gates aliwahi kusema; Ukizaliwa maskini sio kosa lako, Lakini ukifa maskini Hilo ni kosa lako!

Sasa wewe kazana kumlaumu Raisi
 
View attachment 3002138

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia.

Chalamila amesema: β€œKama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu iliyopita.Umri huu zaidi ya miaka 40 hela sina nilizaliwa wakati wa Nyerere, akaja Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli pamoja na Samia huna pesa ninashangazwa”.

Chalamila amesema hayo leo Mei 28 ,2024 akiwa katika ziara ya Jimbo la Ukonga kukagua miradi mbalimbali na kusikiliza kero za wananchi wa jimbo hilo.
Shibe mwanamalevya
 
Mimi ninamiaka 49 nimefilisika kipindi Cha mama Samia kutokana na sera mbovu za usafirishaji.sasa hapo nisilaumu awamu ya sita?chalamila atuombe radhi Kwa kutukosea wtz
 
View attachment 3002138

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia.

Chalamila amesema: β€œKama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu iliyopita.Umri huu zaidi ya miaka 40 hela sina nilizaliwa wakati wa Nyerere, akaja Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli pamoja na Samia huna pesa ninashangazwa”.

Chalamila amesema hayo leo Mei 28 ,2024 akiwa katika ziara ya Jimbo la Ukonga kukagua miradi mbalimbali na kusikiliza kero za wananchi wa jimbo hilo.
Mwenzake Kyle Arusha anatatua kero za wananchi huyu ni maigizo tu huko dar
 
Ni sahihi kabisa. 40+ yrs labda uwalaumu wazazi wako.
Wazazi hawahusiki tena, wamakulea ukawa mtu mzima wakamaliza kazi yao.
Wewe pambana kivyako, serikali ikiwa na sera au mipango mibaya ungana na wengine kuweka mambo sawa. Utafanikiwa tu.
Kila raia ana wajibu wa kujiendeleza binafsi, familia, jamii na taifa lake. Hakuna sababu ya kulaumu, pambana kuondoa vikwazo.
 
View attachment 3002138

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia.

Chalamila amesema: β€œKama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu iliyopita.Umri huu zaidi ya miaka 40 hela sina nilizaliwa wakati wa Nyerere, akaja Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli pamoja na Samia huna pesa ninashangazwa”.

Chalamila amesema hayo leo Mei 28 ,2024 akiwa katika ziara ya Jimbo la Ukonga kukagua miradi mbalimbali na kusikiliza kero za wananchi wa jimbo hilo.
Baada hatatue kero za wananchi Yeye anakalia mipasho tu, wakati ametenguliwa ukuu wa Mkoa kidogo ageuke kichaa,alijigeuza mlokole gafra na kuanza kuhubiri injiri na kuimba tenzi ili Samia umuonee uruma, Sasahivi anaanza majivuno kisa amefanikiwa, anaanza kumtukana wanaume,Kama haufanyi magendo au wizi kutoboa nchi hii nivigumu mno sheria kandamizi ni nyingi sana,Sheria Zina fervor mwekezi wa nje kuliko mgeni, ndio maana mgeni akija kutoboa ni rais kuliko mzawa.
 
Back
Top Bottom