Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Ni kweli wazazi hawahusiki, lakini kuilaumu serikali ni sahihi kwa kuwa tunailipa kodi.Wazazi hawahusiki tena, wamakulea ukawa mtu mzima wakamaliza kazi yao.
Wewe pambana kivyako, serikali ikiwa na sera au mipango mibaya ungana na wengine kuweka mambo sawa. Utafanikiwa tu.
Kila raia ana wajibu wa kujiendeleza binafsi, familia, jamii na taifa lake. Hakuna sababu ya kulaumu, pambana kuondoa vikwazo.
Hivi nyie mtatetea serikali kwa lipi?. Ufisadi wote kwa CAG hizo pesa zingepelekwa kuwezesha vijana wenye ideas ingekuwaje, mmekalia vijembe tu bila sera na maono.Ni sahihi kabisa. 40+ yrs labda uwalaumu wazazi wako.
Pesa zikitilewa ni za mama Samiah ila mambo yakienda kombo sio mama Samiah. Serikali ipo kwaajili ya kuwezesha raia wake kiuchumi. Sasa Kama raia hawawezeshwi wamlalamikie nani wakati Viongozi wanajipangia posho na pesheni kwa wenzako wao. Tuwe wakweli na tuache siasa. Kila siku mabiliini yanapotea mpaka ripoti ya CAG imepoteza mvuto siku hizi.Yupo sawa kwa sababu mama SAMIA ana mchango mchache sana kwenye umasikini wako tusitumie mihemko kumuelewa Mh RC Chalamila a.k.a Toto tundu la taifa
Tupo pamoja kifikra. Sera, sheria, miongozo na maamuzi ya serikali ndiyo huathiri maendeleo ya raia.Ni kweli wazazi hawahusiki, lakini kuilaumu serikali ni sahihi kwa kuwa tunailipa kodi.
Ukimlipa fundi akurekebishie mlango wako lakini akasepa, hautamlaumu?
Bila shaka Chalamila atakuwa alilewaView attachment 3002138
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia.
Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu iliyopita.Umri huu zaidi ya miaka 40 hela sina nilizaliwa wakati wa Nyerere, akaja Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli pamoja na Samia huna pesa ninashangazwa”.
Chalamila amesema hayo leo Mei 28 ,2024 akiwa katika ziara ya Jimbo la Ukonga kukagua miradi mbalimbali na kusikiliza kero za wananchi wa jimbo hilo.
Huna ushahidi wa kumhusisha huyo Chalamila na huo wizi anaousema CAG, ni yale yale maongezi ya ndani ya daladala ya abiria.Tofautisha ukweli na dhihaka. Alichoongea Chalalamila ni dhihaka sio ukweli. Wao wanaiba pesa kila mwaka kwenye ripoti za CAG imeandikwa. So wanaweza kuropoka maana ameshiba.
Dhihaka yenye ujumbe wenye ukweli ndani yake. Namna hiyo ya kuongea ndio ile aliyoitumia Mwalimu Nyerere miaka ile, ujumbe unafika kwa kutumia maneno ya utani.Tofautisha ukweli na dhihaka.
Kuna watu wanapambana,lakini bado wanadhulumiwa haki zao kupitia hiyo hiyo Serekali, siku na yeye aite wananchi wenye kero zao kama wenzake Makonda na Silaa wanavyofanya aone mtimti wa watu wasiokua na pesa waliodhulumiwa haki zao na wenye pesa watakavyo mjalia hapo kwa office yake,alafu aanze kutatua kero zao! Siyo kila masikini ni mvivu, wengine umasikini wao umetokana na dhuluma pamoja na kesi zisizoisha za nenda rudi kesho huko Mahakamani!!Wazazi hawahusiki tena, wamakulea ukawa mtu mzima wakamaliza kazi yao.
Wewe pambana kivyako, serikali ikiwa na sera au mipango mibaya ungana na wengine kuweka mambo sawa. Utafanikiwa tu.
Kila raia ana wajibu wa kujiendeleza binafsi, familia, jamii na taifa lake. Hakuna sababu ya kulaumu, pambana kuondoa vikwazo.
Sawa kabisa wafuate mtindo huo wa Waheshimiwa Makonda na Jerry kwa nchi nzima, kifupi watendaji wengi wa serikali mikoani , wilayani sasa hadi katani ndio mitambo ya kuzalisha na kuongeza umasikini, je serikali haiwalipi mishahara hadi wa omba omba kwa wanaotafuta huduma mfano RITA eti cheti cha mtoto elfu 20?Kuna watu wanapambana,lakini bado wanadhulumiwa haki zao kupitia hiyo hiyo Serekali, siku na yeye aite wananchi wenye kero zao kama wenzake Makonda na Silaa wanavyofanya aone mtimti wa watu wasiokua na pesa waliodhulumiwa haki zao na wenye pesa watakavyo mjalia hapo kwa office yake,alafu aanze kutatua kero zao! Siyo kila masikini ni mvivu, wengine umasikini wao umetokana na dhuluma pamoja na kesi zisizoisha za nenda rudi kesho huko Mahakamani!!
Unajifanya unadharau utakuta huna lolote.
Na wewe kuwa chawa itakulipa.Punguza uchawa kwenye mambo serious.