Yuko sahihi😃,toka ulipoanza kujitambua mpaka leo huna hela halafu uanze kumlaumu Mama Samia aliyeingia madarakani juzi tuu!sio sawa!
Jilaumu mwenyewe kwakutoweza kuziona fursa.
Nipo napiga tubia tuwili na kutafakari maneno ya Mheshimiwa Chalamila, nahitimisha wakemee urasimu na rushwa, tutajirika hata uzeeni
Cost of doing business is unnecessarily high