Mimi sijui wakisemaga kagera ni maskini...wanaongelea kagera ipi...Singida kuna maendeleo kuliko Kagera?
Sijui huu uchumi wamesomea wapi hawa?Rubbish analysis. Why open the shop if studies confirm that the would be customers start going out of the residences from 10.00 onwards!
Huyo jamaa kwa "kuropoka" hawezi kuacha kipaji chake, alichojaaliwa na Mungu😄
RC ni member wa CCM?? BULLSHITView attachment 2344085
Hayo ameyasema wakati wa kikao cha ndani cha siasa kilichohudhuriwa na makamu mwenyekiti wa CCM bara bwana Kinana.
View attachment 2344085
Hayo ameyasema wakati wa kikao cha ndani cha siasa kilichohudhuriwa na makamu mwenyekiti wa CCM bara bwana Kinana.
Alichoongea ni tofauti na ulichoandikaView attachment 2344085
Hayo ameyasema wakati wa kikao cha ndani cha siasa kilichohudhuriwa na makamu mwenyekiti wa CCM bara bwana Kinana.
Mambo ya kulala na ng'ombe ni hadithi tu! Njoo mtaani huku Simiyu aangalie wanaume wanavyopambana! Geita inawazidi mzunguko wa pesa na uchakarikaji wana wananchi wake!Na Kagera ndo mkoa unaoshika nafasi ya pili kwa Makazi bora ya vijijini ukiongozwa na Kilimanjaro. Nenda Simiyu watu na Ng'ombe wanashindana kwa ubora wa nyumba. Geita kuna dhahabu nyumba bora za kuhesabu. Maendeleo gani binafsi ambayo Simiyu inaizidi Kagera?
Huwa hamtaki kuambiwa ukweli! Wahaya waongo waongo wana maisha mazuri ukienda anapoishi ujinga mtupu! Hata hapa town tunao mara nafanya kazi wapi na wapi! Wanaongoza kufeki maisha! Wapuuzi sana hawa!Alianza Nyerere kupeleka washenzi mkoa wa Kagera ili kukwamisha maendeleo ya mkoa, hiyo tabia haijawahi kuisha leo tunatafuta mchawi kwa maneno ya shombo.
Eti mara hii Wahaya leo wamekuwa laughing stock ya nchi!!
🤣😂🤣 Sasa tumeanza kushambuliana na 'kurekebishana' kwa misingi ya kikabila?Huwa hamtaki kuambiwa ukweli! Wahaya waongo waongo wana maisha mazuri ukienda anapoishi ujinga mtupu! Hata hapa town tunao mara nafanya kazi wapi na wapi! Wanaongoza kufeki maisha! Wapuuzi sana hawa!
Mafanikio ya makafara! Kagera hatunaga hizo.Acha kujifariji mkoa wa Simiyu unaizidi kagera nenda bariadi ukaone watu wake walivo na mafanikio ndani ya mkoa wao! Mfano hata geita iko vizuri kuliko kagera japo umasikini upo ila mzunguko wa pesa geita na wananchi wake wanavopiga kazi hawawafikii hata kidogo! Angalia senta zao kama Katoro linganisha na nyinyi huko?
Ndo mnavoamini! Kila mwenye mafanikio anakafara juu yake! Endeleeni kujifanya wanasheriaMafanikio ya makafara! Kagera hatunaga hizo.
Kupatwa kwa mkoa wa Kagera.Lol! Kituko hiki.
Kiingereza na maendeleo duni. Masuala mtambuka haya.
Hiyo stendi, imehamishiwa pale Leo?Kingereza kinazuiaje maendeleo?
Yeye ni mkuu wa mkoa...Stendi ya Bukoba ni majanga..ashawahi itembelea akaona matatizo yake..
Yaan mtu unaletwa uongoze mkoa unaanza maneno na kejeli...solve matatizo ya mkoa hasa hapo Bukoba...mji barabara zake mbovu, stendi ni ya matope na kero nyingine kibaoo
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Na kibaya zaidi , Hiro duka lipo moja maeneo hayo.Wameelezwa ukweli wanaanza kuleta maneno, hapo ujumbe waache uvivu waongeze kasi ya kuchapa kazi wafungue maduka mapema sana biashara zifanyike sio unaduka sababu ni lako ukafungue saa nne, wachukue ushauri wasonge mbele siri ya maendeleo ni kazi kwa bidii