RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

Mtakatifu Anne... uko poa aunt?

Daslamu sasa ni mwendo wa kuchapwa ndoige tu wakimzingua RC . 😄

-Kaveli-
Inabidi niombe mechi mtanange mimi na RC
Ni mwendo wa kubonda kichwa chake kile penye upara.

Jamaa anajifyatua tu ila deep down ni mtu poa sana.

Nipo Mkuu 🙏
 
Tuna viongozi hawajakomaa. RC ana vyombo chini yake na juu yake. Wako wenye vyombo hivo. Awaagize.
 
Mteule wa rais huyo anaongea hivyo halafu bado tu yuko kazini kutukana wananchi ambao hawakumchagua.

System ya hovyo sana tuliyonayo na ndiyo maana hata mwendazake makosa yalikuwa haya haya system mbovu.

Hovyo kabisa.
Sasa katukana nini hapo?
 
Punguani wa aina hii wanabakije kwenye ofisi za umma?
 
Ameamriwa aongee pumba ili ile kauli yake ya mkome kama mlivyokoma kwenye maziwa ya mama yenu itumike kumpa kiki kaimu pm ili chalamila aende morogoro.
 
Majitu mapumbavu kama haya ni perfect reflection ya aliyewateua
I agree, 1000 percent, it comes from the top. President is whistling the dog.

Ningetamani sana kumuuliza Rais Samia na Marais wetu hata waliostaafu, ni nini au experince gani katika maisha ya nchi hii yaliyowafanya waone watu hawatawaliki bila vitisho, nguvu, virungu, rumande, imprisonments, mikwara kutwa kucha. Why the hell ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…